ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
Umbeya mtupu. Acha upotoshoja.jana saa mbili ITV habari 2 za mwanzo ni Magufuli na waziri mkuu.Unataka wafanye nini?
Hata wakati wa kampeni walikuwa wanaziweka sometimes za mwisho.
Hii ni taasis binafsi sii mali ya serekali ina uhuru wa kujiendesha kibiashara.Haiwezi kuwa chombo cha propaganda za serekali.
Acha chuki binafsi.
 
wachaga wameweka kinyongo.... mirija inazibwa ... majipu yanapasuliwa ...
Maraisi wote wanaopiga mdudu huwa wanailetea sana maendeleo nchi yetu mfana Mkapa na sasa Magufuli lakini wale wanaotembea na ndizi za pilau ni hatari
 

Pana mbunge mmoja alipata uwaziri kwa kuishutumu ITV bungeni kumpa Mengi muda mwingi kwenye taarifa ya habari kuliko Rais.
 
Mmmh! Kweli serikali iliyopita haijamalizika huku mikiani.

Hey! Hatuna muda na hoja za kijinga. Fungua stesheni yako uwe unatangaza tangu rais anakunywa chai hadi anapolala.

Uzalendo hauoneshwi na mipasho
 

[h=2]Re: ITV vs JPM & CCM[/h]
wachaga wameweka kinyongo.... mirija inazibwa ... majipu yanapasuliwa ..From Njiwa Quote)

Hongera Kirimirimi, siku hizi sikioni kitufe cha 'like'. Na mimi ndivyo nilivyomsoma mleta mada, infact yeye ndio ana chuki na tena ni mchonganishi wa haja. Haoni amani anapenda kuona mafarakano, angependa na kufurahi sana rais Magufuli angemtenda Mengi, maana ndiko chuki yake ilipolala, wako na wengine kama yeye, mfano huyu Njiwa. Tena basi kuna uwezekano mkubwa wao ndio hawana amani na utendaji wa mheshimiwa rais. Mi ni mchaga na nimesikia comments nyingi za wachaga hususan watu wazima kuwa now, we have a president at least, anaonyesha uwezo. Lakini kuna baadhi ya watanzania wanatamani wachaga sijui wachinjwe au wafanyweje!



 
Mtoa mada ni shabiki wa ccm na hana uelewa wa kile anachokishabikia,
 
Mi nafikiri tuache uchonganishi ...navisifu vyombo vyote vya habari maana vinampa uzito mkubwa sana Mh Rais...

Yes, huu ni uchonganishi wa dhahiri. Muendelezo wa vita vya kijinga vya ukanda. Naamini vitakufa soon.

Tofauti za kisiasa pembeni, tuwe kitu kimoja tumuunge mkono rais wetu.

Siasa zisubiri 2020.
 
Itv wako vizuri star tv wameshapotea,ila sidhani kama ITV watanusurika na uwekezaji Wa azam kwenye habari ukiangalia viwango vya taarifa ya habari ya SAA 2:00 kati azam two na itv ,
ITV wameachwa mbali.
 
..."hotuba ya kihistoria"
wewe zoba umejaa mahaba, then unataka kuambukiza wengine mahaba ya kipuuzi kama yako.
 

too biased and pathetic analysis. ilikuwaje ck hiyo ufanye ufuatiliaji wa ITV pekee na kutoa hitimisho lako?
kwani ulifanya hitimisho lako hilo kulinganisha na TV gani nyingine?

star TV ilikuwaje? na kwani lazima magufuli aoneshwe na ITV pekee?
 
Mleta mada una chuki binafsi na Mengi sasa unataka magu amkomeshe kisa anatokea sehemu usiyotoka wala kuipenda. Ushindwe na ulegee kwa chuki zako
 
Itv hamnaga tv kama ile tz. Tbc1 kidogo wakati wa tido nilikuwa naangalia. Unanishangaza ndugu saiv kituo bora cha habari ni itv yale majitu yanajua nn tunataka. Jitu kama ww ulitaka uone taarifa unayotaka itv wanamipangilio yao ya habari .
 
Saluti sana! Mungu mpe wepesi raisi wetu mahana anaitakia kheri nchi yetu na uwape uzito mijitu yenye mijiroho mbaya inayoitakia mabaya nchi yetu
 

Mkuu hawa jamaa wanaweza kuwa na mapungufu yao
ila sio kwa kiwango kama cha TBCCM , yaani hao hao
jamaa wa itv ukiangalia habari ya jana ya kukamatwa
kwa maofisa wa TRA hakika nilipenda sana ile habari.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…