ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
Kwani umesikia ITV ni tv ya serikali, kitu cha muhimu kwa ITV ni kulipa kodi stahiki, na sio kutoa habari za kiongozi fulani kafanya nini. Wao wapo kibiashara zaidi.
 
Huu ni umbea yawezekana hata mada hii umeiandika ukiwa bar tena kama kawaida yako

Kwani ukiwa bar ukiandika hayasomeki? Hujaona mabadiliko taarifa ya Rais kuongea na wafanyabiashara na PM kuongea kutembelea bandari? Ndo nachotaka kama ilivyokuwa kwa Baba JK.
 
Ulikuwa BAR ee!!! Basi bila shaka utakuwa ulikuwa na wenge la gambe
 
Huu ni umbea yawezekana hata mada hii umeiandika ukiwa bar tena kama kawaida yako

Kwani ukiwa bar ukiandika hayasomeki? Hujaona mabadiliko taarifa ya Rais kuongea na wafanyabiashara na PM kuongea kutembelea bandari? Ndo nachotaka kama ilivyokuwa kwa Baba JK.
 
Unajua Mengi anatokea Machame kijiji cha NKUU, Mbowe na mengi ni majirani kabisa ukitoka kwa akina Mbowe unaenda kama km 1 Ndio unafika kwa Mengi. Kwa hiyo usishangae ni TV ya home, we fuatilia hata matangazo ya vifo ya Radio one utakuta vifo vinavyotangazwa kwa 90% ni vya kwetu uchagani. Usishangae kabisa ndio maana hata ktk uchaguzi ilikuwa upande wetu wa kaskazini, mengi na ukawa pekee ndio wanataka priority na coverage kubwa nyie chasaka mlie tu
 
inaanzia pale ukitoa zilizoibiwa jumulisha nazile walizomwachia unapata wengi

Hivi kwa akili ya kawaida tu, EL ana brain kama ya JPM? Hivi kweli kuna aliyetegemea EL angekuwa rais wa nchi hii ya watu wazima kama BWM? Lazima atakuwa na mtindio wa ubongo.
 
kwa hiyo hata mwandishi akaweka front page jinsi mama yako alivyobakwa na kukuzaa wewe ni sawasawa?

Ni sawa ikiwa tu itakuwa ndio habari muhimu na ya kwanza kijamii. Na ikiwa ndio gumzo la siku hiyo.
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu, EL ana brain kama ya JPM? Hivi kweli kuna aliyetegemea EL angekuwa rais wa nchi hii ya watu wazima kama BWM? Lazima atakuwa na mtindio wa ubongo.

E.L labda tumjengee ikulu yake pale Nanja lkn hana sifa wala uweze hata chembe kuwa Rais wa JMT
 
Umesahau star tiv kwanini walikua hawataki kuonyesha habari ya ukawa mkuki ukawa ccm inauma chamtu nimavi nunua yako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…