ITV tutafutieni Mwigulu na Mnyika Live

ITV tutafutieni Mwigulu na Mnyika Live

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
254
Ni maoni yangu ITV kama mnaweza mweka live hapo yeyote Chadema na Mwigulu
Tafadhali tuna mengi ya ufahamu kutoka kwao tunahitaji jua.....
 
Kwanza mwigulu hawezi kukubali akae na mnyika?mwigulu hana caha kuongea,atabaki anatoa povu kama kala sabuni
 
mwigulu yule mbona mbulula sana?labda atafutiwe heche au kijana yeyote wa Bavicha
 
mwigulu kwa saahz hake mimi. katibu wa tawi.
 
Mwigulu hamuwez hata kidogo huyo mnyika na ataishia kejeli tu.....nataman siku moja ashughulikiwe!!!!!!!!
 
Kwa Mtangazaji yupi wa kuwahoji hayo maswali? Wote waliopo wamezoea kitchen paty

Unapoandaa mdahalo unaandaa na mtangazaji makini siyo aina hii iliyopo,labda kidogo wa aliyeendesha Mchakato majimboni
 
Ni maoni yangu ITV kama mnaweza mweka live hapo yeyote Chadema na Mwigulu
Tafadhali tuna mengi ya ufahamu kutoka kwao tunahitaji jua.....

Maombi makini kama haya yangekuwa yanatekelezwa na TBC angekuwapo Tido "Ukweli na Uhakika" Muhando. Lakina hatuna namna, inabidi ITV watusaidie hili.
 
Kwa Mtangazaji yupi wa kuwahoji hayo maswali? Wote waliopo wamezoea kitchen paty

Unapoandaa mdahalo unaandaa na mtangazaji makini siyo aina hii iliyopo,labda kidogo wa aliyeendesha Mchakato majimboni

Acha kejeli dogo...
 
Adrian Stepp; Msamehe bure kama amekukwaza maana si kweli kwamba hamna watangazaji wote hawafai, lakini kuna yule Jamaa wa kipindi cha DK 45 uhojaji wake ni mdogo kwa maoni yangu binafsi.
 
Last edited by a moderator:

mtangazaji ninaye mkubali ITV ni NASAKO na kwa mbalii Stiven Chuwa hawa jamaa huwa hawakubali uruke swali
 
Mwigulu tumeshamwandalia saizi yake, katibu wa jimbo la Ubungo, Makwiro. Kwa Mnyika atachemsha.
 
Adrian Stepp; Msamehe bure kama amekukwaza maana si kweli kwamba hamna watangazaji wote hawafai, lakini kuna yule Jamaa wa kipindi cha DK 45 uhojaji wake ni mdogo kwa maoni yangu binafsi.

mkuu huyo huwa anahoji au anawasomea maswali yaliyoandali?
 
Last edited by a moderator:
Adrian Stepp; Msamehe bure kama amekukwaza maana si kweli kwamba hamna watangazaji wote hawafai, lakini kuna yule Jamaa wa kipindi cha DK 45 uhojaji wake ni mdogo kwa maoni yangu binafsi.

mkuu huyo huwa anahoji au anawasomea maswali yaliyoandali?kaz hiyo bora ifanywe na ulimwengu
 
Last edited by a moderator:
Adrian Stepp; Msamehe bure kama amekukwaza maana si kweli kwamba hamna watangazaji wote hawafai, lakini kuna yule Jamaa wa kipindi cha DK 45 uhojaji wake ni mdogo kwa maoni yangu binafsi.

mkuu huyo huwa anahoji au anawasomea maswali yaliyoandali?kaz hiyo bora ifanywe na ulimwengu wa chanel ten
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu tumeshamwandalia saizi yake, katibu wa jimbo la Ubungo, Makwiro. Kwa Mnyika atachemsha.

Kwasababu Mwigulu ni zaidi ya Mnyika kwa kila kitu....Mnyika Yule Mzee wa evening class pale UDSM? Au mwingine?
 
Back
Top Bottom