joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,456
- 41,625
Wapi nimeitaja CCM mimi nimesimama na WATAFITI na sio mahaba yenu ya KIPUUZI.Wewe na mahaba yako na CCM kumeifanya TBC kua SUPER BLAND.
Wapi nimeitaja CCM mimi nimesimama na WATAFITI na sio mahaba yenu ya KIPUUZI.Wewe na mahaba yako na CCM kumeifanya TBC kua SUPER BLAND.
Sawa kabisa SUPER MPUUZI.Wapi nimeitaja CCM mimi nimesimama na WATAFITI na sio mahaba yenu ya KIPUUZI.
Nakushauri ufuatilie kipindi cha Star tv tuongee asubuhi kila siku ya jumanosi, "jicho letu ndani ya habari" utajifunza mengi kuhusu uandishi wa habari na uhariri, usipingane na nafsi mkuu.Kwa mtu makini ulipaswa uwalaumu TBC maana ndo inaendeshwa kwa kodi yako sio ITV inayoendeshwa kwa mfuko wa mwanamme mwenzio.
By the way Lissu ni mkubwa kwako sio kwa kila mtu
Watafiti uchwara!Wapi nimeitaja CCM mimi nimesimama na WATAFITI na sio mahaba yenu ya KIPUUZI.
Mahaba yako kwa mtu mmoja haya badilishi kitu still bado ITV ni superbrand.Watafiti uchwara!
Mtutoe tongotongo sisi wengne tusiojua maana ya huo usupabrandi wajameni.Mahaba yako kwa mtu mmoja haya badilishi kitu still bado ITV ni superbrand.
Vigezo hivyo.Mtutoe tongotongo sisi wengne tusiojua maana ya huo usupabrandi wajameni.
usupabrandi unapatikanaje?
Kuna mashindano au?
Kama ni mashindano, nani anashindanisha?
Nani wanaoshindanishwa?
Wanafanyia wapi?
Kwa vigezo vipi?
Mashindano ni ya kila mwaka au ukishashinda mara moja unakuwa bingwa wa maisha?
Ila Azam/UTV wanajitahidi sanaaKwa sasa kwenye habari hakuna tofauti yoyote kati ya TBC na ITV. Ni kupoteza muda wako kuangalia.
Check Azam/UTV achana na TV za kimang'atiNikiandika nliyokusudia ntakula ban bure, hivi hiyo tuzo aliwapa nani? Super brand gani yenye upendeleo mkubwa hivi? Nimewafuatlia sana tangu Lissu aripoti nchini habari zake hawazipi uzito kabisa, hivi matukio ya mikutano ya chadema inapewa nafasi saa 2 na dak 18 tena kwa dak 3 [emoji854]
Media zetu ziko biased sana asee bora nikomae zangu na mitandao ya kijamii tu, bye bye ITV.
Safi.ila nataka kujua haya pia.Vigezo hivyo.
View attachment 1527362
Mara mwisho matokeo ya utafitia yalitoka mwaka April 2019 ila mwaka huu bado.
Kampuni inayo washindanisha inaitwa Super brand.Wanao shindanishwa ni media zote za East Africa.
Superbrand ndio wana wapasisha baada ya KUKUSANYA DATA na kufanya ulinganifu na data za kampuni nyingine.Safi.ila nataka kujua haya pia.
(1) Hao s.b wanapasishwa na nani?
(2) kwa vigezo ivyo apo, itv inashindaje?
Na usupa brandi una kikomo au ni kila siku?Superbrand ndio wana wapasisha baada ya KUKUSANYA DATA na kufanya ulinganifu na data za kampuni nyingine.
ITV inashinda sababu kutokana na vigezo vyao na data zao wamescore points nyingi zaidi ya wengine.
Ni mchakato wa kila mwaka ,mwaka huu bado.Na usupa brandi una kikomo au ni kila siku?
Kaka ITV walifanywa kitu mbaya baada ya uchaguzi mkuu wa 2015. Kama unakumbuka marehemu Mzee Mengi na Spencer Lameck pale Lumumba kwenye kukabidhiwa cheti cha ushindi wa urais . Walishambuliwa mawe viatu na kila kitu kibaya. Mbaya zaidi siku tano baadaye walipigwa fine na kutishiwa kufungiwa. Sasa kama ulivyoona akina Tanzania daima wanafungiwa bila sababu za msingi !!.Nikiandika nliyokusudia ntakula ban bure, hivi hiyo tuzo aliwapa nani? Super brand gani yenye upendeleo mkubwa hivi? Nimewafuatlia sana tangu Lissu aripoti nchini habari zake hawazipi uzito kabisa, hivi matukio ya mikutano ya chadema inapewa nafasi saa 2 na dak 18 tena kwa dak 3 [emoji854]
Media zetu ziko biased sana asee bora nikomae zangu na mitandao ya kijamii tu, bye bye ITV.