ITV sasahivi kipindi maalum, who is Lowassa

Mko katika kampeni ya kumnadi mr manywele,kama vile sisi watanzania ni wajinga,first mzee amechoka na inabidi nguvu ya ziada itumike kama hivi mnavyofanya usanii.
Mkimaliza pia mtupeleke kwa john pombe magufuli kama mko fair na sio deal
 
Kwanza haina hata msisimko, eti Lowassa ni nani? Wekeni kamanda wa kazi na yeye Tumuone.
 
Mko katika kampeni ya kumnadi mr manywele,kama vile sisi watanzania ni wajinga,first mzee amechoka na inabidi nguvu ya ziada itumike kama hivi mnavyofanya usanii.
Mkimaliza pia mtupeleke kwa john pombe magufuli kama mko fair na sio deal
Kumbe TBC ilivoacha kuonesha uzinduzi wa kampeni za UKAWA ilikuwa ni deal eeeh
 
Uliangalia hukuona ufunguzi wa UKAWA TBC amma umeambiwa?Upo Mwanza udeki barabara Lowassa anakuja huko ila huku kwetu ROMBO,MOSHI,ARUSHA,MONDULI haitakeoa kumdekia barabara ntu wa kwingine.Watu mnatia aibu.KIWIA mbunge ilemela lakini masanja hawez kupata ubunge Rombo,moshi au arusha
 
Back
Top Bottom