ITV ni CHADEMA damu!

Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!

we lijinga sana
 
Labda nao wanataka kuanza biashara ya gongo...

Heri gongo kuliko cocain. Watoto wenu wanauzia watoto wa makabwela bila hofu ya kukamatwa kwani ninyi ndo wenye hii nchi. Sasa CDM itakuta nini zaidi ya gongo ambayo ni local??
 
Kumbe mnakubali CDM ilishinda 2010 sio?
Tulizani ni CDM wenyewe ndo walidhani hivyo kumbe na ccm ilikubali ngoma ya CDM 2010

angalia hapa ya Mwanza leo ITV walionyesha pia?

Sorry kwa mshtuko?? Taratibu ndo mwendo

Mwanza waandishi wote walikuwa kwenye mauaji ya Mwenyekiti wa CCM mkoa mstaafu aliyeua mtoto wa miaka 12 kwa risasi na yeye wananchi waliochoshwa na uonevu wakamshughulikia.
 
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!

Heee! hivi leo ndiyo unajua kama ITV na Chadema ni kama chura na maji!!! Yani ni sawa tu na TBC na CCM.
Ni kweli Slaa leo kaoneshwa muda mrefu sana, utafikiri Rais alikuwa na issue nyeti sana
 
Kama hupendi itv anzisha yako na familia yako
Na bado, tunaanzisha cdmtv ndio mkome
Pumbaaaavuuuu
 
acha kujipendekeza kwangu mpiga gongo wewe, ndio mana umechubuka na kuvimba uso..sikupendi jinsi unavyotumika kwa maslahi ya mzinifu na mpora wake za watu

Hivi huyu mzee si askofu, sijui padri au mchungaji, mbona anahubiri kuhalalisha pombe tena pombe kali kabisa. Maaskofu wenzake hawajamsikia nini
 
Zile ni picha za uchaguzi mkuu 2010

Hee kumbe? Mim mwenyewe nimeshangaa sasa ITV inasaidia kufanya kampeni za chadema? Any way wapiga kura pekee ndo watakaonyesha kama kweli mahudhurio ya mikutano yanamaana au la
 
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!

Furaha iliyoje umeisilikia full hadi imekuuma Moyo kuona Dr,Anakamua live,,
 
Huo ni mwanzo tu. Si walisema boss wa pale hawezi kumiliki Ges tena kwa kejeli. Ngoja sasa alipize kisasi in indirect way.
 
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!

Mbona TBC ikitangaza zenu hatulalamiki?

Na ole wenu..mlikua mnanyanyasa sana kipindi mpo DSTV peke yenu, sasa hivi Star Tv na Channel Ten wapo ndani,nani aangalie TBCCM?

Hamtufai,bakini na TBCCM yenu na itawafia siku sio nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…