tbc ni tv ya ccm ambayo . na ccm ndio chama kinapendwa na watanzania walio wengi. ITV ni tv binafsi kwa kuwahudumia watanzania wote na kufanya biashara kwa matangazo.
Hata nikitaka kuangalia taarifa ya habari saa 2 basi lazima niweke super brand maana ndio kituo bora Tanzania.wale wengine tupa kule habari zao ni semina tupu.
Hawa itv wanastahili pongezi. Wana coverage nzuri sana,almost kila kona ya tanzania na hawako biased. Hali ni kinyume na TBC wanaoonesha habari za chama tawala,huku wakipuuzia vyama vingine na shughuli za kijamii. HONGERA ITV.
Sijaelewa hapo kwenye bold, fafanua.tbc ni tv ya ccm ambayo . na ccm ndio chama kinapendwa na watanzania walio wengi. ITV ni tv binafsi kwa kuwahudumia watanzania wote na kufanya biashara kwa matangazo.
hiv ITV nao wana VAN kama TBC?
Yani ITV bana ni kibokoo...na kwa sasa inapendwa na wajinga wengi kweli hasa wa UKAWA na wanaotoka mikoa ya Arusha na Moshi eti kisa ni ya mwana Ukawa mwenzao...Shutuuu...,ukabila,udini na ukanda utawamaliza nyie makawa-d
Acha upuzi wewe kila kitu siasa inaonyesha ni jinsi gani Ukawa inakunyima usingizi badala muwahudumie wananchi wa appreciate kazi na huduma mnazotoa kwa wananchi mumubaki na wimbo wa udini ukabila hvo havitawaokoa wananchi wengi niwaelewa tofauti na zamani
bora umemwambia yani kuna mijitu sijui ikoje mi tbc mwenzenu hapana ndo mana hat ving'amuzi visivyo na itv vnanipa shida yani mwaka jana ht bss haikua na msisimko kwa sababu ya tbc