ITV ndo television ya taifa

ITV ndo television ya taifa

ITV ndio televisheni yenye kiwango tatizo lake ina matangazo mengi ya biashara
Hasa vyuo vya mtaani na kozi zao za ualimu wa chekechea, hotel management, tour guide and driving, aids counselling etc etc
 
Nasikitika naikosa kwa kutumia DSTV huku remote area! Hv mee mengi ataingia kweli mkataba na Multchoice wa Dstv? chan.10 washaingia..
 
Yani ITV bana ni kibokoo...na kwa sasa inapendwa na wajinga wengi kweli hasa wa UKAWA na wanaotoka mikoa ya Arusha na Moshi eti kisa ni ya mwana Ukawa mwenzao...Shutuuu...,ukabila,udini na ukanda utawamaliza nyie makawa-d

Akili za ki-pimbi utazijua tu!!
 
Back
Top Bottom