Mimi ITV si waelewi kabisa. Mhe. Mengi unapoteza watazamaji zaidi ya elfu kumi tano almost kila siku. Mwisho wa siku utajikuta hii TV imekufa kifo cha mende. Nimesema hayo kwa sababu zifuatazo:
1. ITV haiko clear Kama star tv na tbc. Hii ni kwenye vingamuzi vyote mfano startimes, CTV nk
2. ITV inaongoza kwa kubusu sielewi tatizo ni nini na kwanini halishughulikiwi.
3. Kwa nini ITV imeshindwa kujiunga na DSTV, jamani na ukongwe wote imeshindwa na Star Tv?????
4. Sasa hivi kingamuzi cha CTV ni ITV peke yake haionekani, Star TV na TBC iko very clear. Kuna nini????
5. Hivi hii TV ina marketing manager kweli????? Kama yuko je anaelewa jinsi hii TV inavyoporomoka kwa kasi kila iitwapo Leo??? Au ina washauri wabovu???
6. Wapenzi wa ITV nikiwa mmoja wao nafadhaishwa na hicho kinachoendelea. Ukipoteza wateja kuwarudisha ni kazi kubwa wapendwa. Star TV inashika kasi, imekuwa competitor wenu wakati haikuwa hivyo before.
Queen Esther
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.