Zlatanmasoud
Member
- Dec 19, 2010
- 71
- 16
Ama kweli watoto noumaaaaaaaaaaaaJana jioni Alionyenshwa mtoto kapotea ktk ITv, alipo hojiwa ilikua hivi
Aliemukota: unakaa wapi?
Mtoto: nyumbani.
Aliemuokota: nyumbani kwenu wapi?
Mtoto: kwa babu
Alomuokota: babu yako anakaa wapi?
Mtoto: anakaa nyumbani
Alomuokota: anaitwa nani?
Mtoto: anaitwa babu
Dogo katumwa nini? kupunguza budjet ya new year nyumbani!!
Huyu mtoto mjanja anavizia ka ofa ka kuchukuliwa na Mhe. Pinda
Kibao kimoja tu angejibu kila kitu
Huyu mtoto mjanja anavizia ka ofa ka kuchukuliwa na Mhe. Pinda
Mbona hujasema mtoto wa miaka mingapi? ili tufahamu majibu anayatoa kwa malengo yapi