ITV na Mtoto aliepotea

ITV na Mtoto aliepotea

Zlatanmasoud

Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
71
Reaction score
16
Jana jioni Alionyenshwa mtoto kapotea ktk ITv, alipo hojiwa ilikua hivi
Aliemukota: unakaa wapi?
Mtoto: nyumbani.

Aliemuokota: nyumbani kwenu wapi?
Mtoto: kwa babu

Alomuokota: babu yako anakaa wapi?
Mtoto: anakaa nyumbani

Alomuokota: anaitwa nani?
Mtoto: anaitwa babu
 
Tuwafundishe watoto majina ya mitaa, watu etc
 
hakao katoto kana tafuta janja ya kutumbua new year kw mshikaji!!!
 
Aisee ni noma. Lakini kweli tuwafunze watoto wetu majina ya mitaa na watu wanaoishi nao, sio yule kaka yako, huyu bibi yako, kule kwa dadaako
 
Dogo katumwa nini? kupunguza budjet ya new year nyumbani!!
 
Jana jioni Alionyenshwa mtoto kapotea ktk ITv, alipo hojiwa ilikua hivi
Aliemukota: unakaa wapi?
Mtoto: nyumbani.

Aliemuokota: nyumbani kwenu wapi?
Mtoto: kwa babu

Alomuokota: babu yako anakaa wapi?
Mtoto: anakaa nyumbani

Alomuokota: anaitwa nani?
Mtoto: anaitwa babu
Ama kweli watoto noumaaaaaaaaaaaa
 
Dogo katumwa nini? kupunguza budjet ya new year nyumbani!!

Nadhani hakuna mzazi anayapenda mtoto wake anyanyasike wala kudhalilika so atakuwa alipotea kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom