Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,464
- 133,914
Wanabodi,
Sio mara moja wa mbili nimekuwa nikiilalamikia ITV kwa vitendo vichache ambavyo ni kinyume cha maadili ya uandishi wa habari na kinyume cha haki za utu na udhalilishaji mkubwa wa maiti za binaadamu!.
Leo kwenye taarifa yake ya habari ya saa 5:00, ITV wameonyesha picha za mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini iliyejinyonga chumbani kwake kwenye hostel inayotumiwa na wanafunzi wa chuo hicho!.
1. Kabla ya kuonyesha picha za aina ile, mtangazaji wa ITV alipaswa kutoa anyo kuhusu picha mbaya, hakutoa onyo kabla na badala yake aliomba radhi baada ya picha hizo!.
2. Kuonyesha close -up shot ya mwili wa marehemu inayoonyesha sura ya marehemu, ni kinyume cha maadili ya uandishi wa habari na ni dhihaka kwa marehemu!.
3. Hakukuwa na sababu za msingi za kuonyesha mwili wa marehemu ukining'inia na kupiga angles kibao na kuzirudia rudia, hivyo inaitwa "morbid curiosity" na ni very unprofessional kwenye tasnia ya picha za habari!.
4. Kwa kawaida, kwenye ajali zozote zinazohusisha vifo, majina huwa yanakuwa withheld kwanza mpaka kuwa notify ndugu, kitendo cha kuontesha sura na jinsi alivyokufa ni shocking na in humane kwa ndugu kwani zile picha badala ya kutoa taarifa za msiba, zinazidi kuwa traumatize wafiwa!.
5. Kwa wapenzi wa horor kwao its ok, lakini kwa watu wa kawaida picha hizo ni ofensive na ni very unprofessional!.
ITV, hata kama lengo la kuajiri unprofesional is to save on salaries, wapiga picha wenu hao amatures, nendeni mkawabrush japo kidogo tuu na media ethics!.
ITV generally mnafanya kazi nzuri sana, lakini haya mapungufu madogo madogo machache yanawashushia weledi wenu!.
Badilikeni!.
Pasco!.
Mkuu Big Man, news editor anakaa newsroom kazi yake ni ku edit news contents haswa kwa upande wa text, (script) baada ya hapo script na footage zinatua editing bench kutengeneza insert, kazi ya editor ni kutumia shots atakazoelekezwa ama na sub editor au reporter aliyekwenda. Mwenye uamuzi picha gani itumike sio photo editor ni sub editor. Kwa jinsi story ya jana ilivyo, mpiga picha alipiga picha chache na concentration ilikuwa ni kwenye mwili wa marehemu tuu ndio maana zilirudiwa 4 times!.pasco usiwe kama hujawahi kuwa reporter katika vituo mbalimbali unataka kuniambia pale newsroom ya itv hakuna wahariri wenye taaluma ya kutosha ya habari ? kwani ninavyofahamu mimi hata kama wapiga picha ni wa kuokoteza mitaani lakini mwenye uamuzi wa kupitisha habari husika ni mhariri aliyeko newsroom si kila habari inayofika newsroom lazima ipite pili kuna watu wa editing ambao naamini kuwa wana qualifications zote
Mkuu Kiranga, unprofessionalism is order of the day pale ITV newsroom, kuna wakati mmiliki akifanya jambo, basi ndio lilikuwa headline yao na insert ya 5, 6 or 7 min!. Editor ni rafiki yangu nikamuuliza hivi inakuwaje news item iwe more than 5 min?!. Kwenye broadcast any news item must be less than 5 min, ikifika 5 min hiyo sasa ni program!. The only exception ni kwenye live repirtage au developing news!. Baada ya Adam Malima kumlipua Mzee bungeni hilo sasa wamejirekebisha.Mkuu wangu Pasco,
Mie muda huo sikuwa na uwezo wa kuona hiyo habari - niko mbali na nyumbani bado-, lakini nilikuwa naongea na mtu nyumbani wakati huo huo, akaniambia kuhusu hii habari. Swali langu la kwanza likawa jinsi ilivyoonyeshwa kwa maana najua kabisa swala unalolizungumzia kwamba hakuna sensitivity mara nyingine.
Sasa ukimjua mtu, au organization, mpaka ukaweza ku predict kutoka thousand of miles away jinsi watakavyoonyesha hiyo habari, hili linaonyesha kwamba hili si jambo la mara moja tu.
Nashukuru na wewe umeliona hili.
pasco, itv kuna matatizo sana ya 'ethics' za journalism. Inawezekena kweli wanaajiri watu ambao sio professionals ili kukwepa gharama, lakini pia naamii hawana meaninguful in-house training kwa hao wanowaajiri.
Kuna watangazaji kila nikisikia sauti zao nazima simu. George marato, na sam mahela. Wamegeuza taalum hiyo na kuifanya ime drama! Newsreporter anakuwa a major distraction kwa msikilizaje ni kinyume kabisa na ethics. Alianza gerge marato lakini sam mahela naona naye anashika kasi. Huku ni kuidhalilisha taaluma yenyewe.
mkuu big man, news editor anakaa newsroom kazi yake ni ku edit news contents haswa kwa upande wa text, (script) baada ya hapo script na footage zinatua editing bench kutengeneza insert, kazi ya editor ni kutumia shots atakazoelekezwa ama na sub editor au reporter aliyekwenda. Mwenye uamuzi picha gani itumike sio photo editor ni sub editor. Kwa jinsi story ya jana ilivyo, mpiga picha alipiga picha chache na concentration ilikuwa ni kwenye mwili wa marehemu tuu ndio maana zilirudiwa 4 times!.
Weka yako na wwmwenye cv ya george marato jamani haiweke hapa jamvini
Chuma chakavu, ile picha ya Saadam iliibwa kwa simu, hakukuwepo na close up yoyote kuonyesha his dead body!. Zile picha za Ghadafi zilionyeshwa na Libya TV na wengine kuzinasa. Pamoja na hayo tabia mbovu ya Wastern media kuwa na double standards dhidi ya wasio wazungu tumeilalamikia sana humu jf. Wengine wetu mimi nikiwa mmoja wao, tulilaani mauaji ya Saadam, Ghadafi hadi Osama.HIVI huyu mleta mada na wengineo mnamsapoti mlikuwa wapi wakati cnn na media nyinginezo walipoonesha kunyongwa kwa saddam na kuuwawa kwa Gaddafi!? hamkuona au tuseme mlikuwa vipofu? mimi nadhani hizo ni chuki binafsi kwa itv na kasumba ya kuona kila lifanywalo na media za nje halina makosa nitakiri kuwa ni kosa kama hawakutoa tahadhari lakini kama wakitoa tahadhari na picha zikabaki zilezile hapo si kosa, ndio maana ya habari.
Mazoea yana tabu! Sijui wanahisi kuwa ndo tunayotaka kuona? Taarifa inatosha hata wakirusha habari za ajali hali ni hiyo hiyo! They should know that kids also watch the news, EBO!Wanabodi,