Joram kiango
Member
- Aug 25, 2013
- 82
- 16
Kituo cha i.t.v ktk taarifa za habari wana mtindo wa ku pitisha maneno ya habari zilizomo, usiku huu nimeshangaa habari ya kuhusu kesi ya lema na mulongo imeyeyukia hewani bila kurushwa. .sitaki kuamini i.t.v nao wanatumikia serikali na ccm kama tbc. Ila nina imani kuna mtu kapigiwa simu akipewa donge nono iliasionyeshe jinsi serikali ya ccm inavyotumia vibaya kodi za wananchi kuwafungulia kesi zisizo na maana wapinzani. Anyway i hope kesho habari zitatapakaa magazetini.
Long live chadema
Long live chadema