ITV mnaipendelea CHADEMA/UKAWA

ITV mnaipendelea CHADEMA/UKAWA

kawaulize na TBC kwanini wanapendelea CCM wakati sio TV ya chama ile
bora hata ITV wanaonyesha habari za CCM ila TBC hawajawahi kunyesha habari yeyote ya UKAWA

Tangu ukawa iundwe TBC hawajawahi kutangaza habari chanya
 
Wanalilia vitalu vya gesi walionyimwa na Prof Muhongo....na pia babu EL aliwataja na kuwashukuru ITV na Azam....sijui nini kimejificha hapo ila kwa ujumla ataachia mazingira magumu sana ya kazi. Na Tido nae analipiza kisasi cha kuondoka tbc anasahau mkono wa dola...

Huna ulicho kuandika na hujamuelewa mleta uzi
 
Makapi yako mengi tu kama yalivyoorodheshwa hapa chini:
Nchemba
Wasira
Pinda
Bilal
Mwakyembe
Makongoro
Membe
Mwandosya
Ramadhani
Malecela
Mahiga
Muhongo
Ngeleja
Nyalandu


.......


Tafakari...

Makapi bado yapo ndani ya chama na bado ni wanachama halali
 
Back
Top Bottom