ITV mmevuka mpaka

Tatizo sio ninachokitaka bali watuonyeshe ukweli itikadi zao sisi zinatuhusu nini?

kama unajua ukweli si inatosha ya kwenye tv wayatakia nini mwisho utatuaminisha kwamba wewe ndo unataka kutudanya sasa manake mtu muongo anazunguka sana na maneno yake humshtaki.
 
Tatizo siyo hilo, tatizo ni kwamba wameonesha za CCM
 
STARTV ndio television pekee iliyobaki isiyokuwa na ubabaishaji mingine yote inasuasua!
 
Inaruhusiwa katika tasnia ya habari kutoa picha zilizohifadhiwa na wala hakuna tatizo.
nafikili ni uelewa wako mdogo ndo umekufanya ukurupuke kuja kuandika post hii!

Mkuu naona wewe ndo umekurupuka kuonyesha matukio yaliyohifadhiwa huwa inaandikwa toka makitaba tofauti na inavo tumika na itv tukio kama halikupatikana nisahihi likatumika la makitaba si kuchanganya jipya na lazamani huo ni uchakachuwaji
 

me nashangaa watun kazi kulalama lalama tu utadhani umati unaoonekana kwenye Tv ndo kura zenyewe,we ukioneshwa umati mkubwa inakusaidia nn wakati uko tanga,mbeya,mara na uchaguzi uko arumeru? waarumeru hawaitaji kuangalia tv kupiga kura coz wao ndo wanaohudhuria mikutani hyo,taarifa ya habari unaoneshwa wewe uliye mbali na arumeru ambayo huna effect yoyote katika uchaguzi huo
 

mimi nashangaa sana na hizi hoja je mtangazaji alisema ni ya leo ? kama alitumia ya jana jioni ili ujenge hoja vizuri angalia ratiba ya mikutano kuzuia kukurupuka kama amesema hiyo ni ya leo basi muhukumu kwani katika style ya ripotingi ya kampeni unaweza kutumia hata picha ya juzi mradi kile kitu hakijaripotiwa ndugu yangu ila sijajua kwanini cdm inawatesa sana issue ya ccm kuwa na watu wakati wana arumeru wanafahamu nani wa kumpa kura april mosi hayo mengine ni show tu ambazo hazitusaidia
 
Nimecheka sana, jamaa 1 kwenye harambee kasema ametumwa na wananchi wa Iramba, wamemwambia apeleke mchango wao wakujenga chama. Wakamwambia Iramba hakuna mbunge, kuna Mzinzi
 

lakini turudi nyuma mauaji ya januari mosi na kesi zote za cdm mbona makunga alifanya kazi nzuri sana ya cdm kuliko chombo chochote cha habari ? mimi sikubali hilo kama biassed hapo haipo kwani walivyopangwa yeye anaripoti kwa ccm na ufoo anaripoti kwa cdm inawezekana keshokutwa makunga akaripoti kwa cdm na ufoo kwa ccm kwani wao waandishi wa habari wanaripoti kinachotokea na kuzungumzwa
 
Mkuu naona wewe ndo umekurupuka kuonyesha matukio yaliyohifadhiwa huwa inaandikwa toka makitaba tofauti na inavo tumika na itv tukio kama halikupatikana nisahihi likatumika la makitaba si kuchanganya jipya na lazamani huo ni uchakachuwaji

hapa kwa kampeni ambazo ni za mwendelezo hazina shinda tatizo ni kwa waongeaji
 
Inaruhusiwa katika tasnia ya habari kutoa picha zilizohifadhiwa na wala hakuna tatizo.
nafikili ni uelewa wako mdogo ndo umekufanya ukurupuke kuja kuandika post hii!

kama ulivyo kurupuka wewe na kubwatuka kujibu.
Pili pili usiyo ila yakuwashia ni??
 
Huwezi kupata uhalisia coz hata ukipata mkutano wenye hadhara kubwa ujue FUSO na mabasi vimefanya kazi ya kusomba watu,yawezekana walikosa pesa ya kuwalipa wenye magari so ITV wanaogopa kunyimwa Leseni,STAR wana roho ngumu coz mkubwa wake magamba yalimchoka hivyo anashindilia bila huruma....
 
Inaruhusiwa katika tasnia ya habari kutoa picha zilizohifadhiwa na wala hakuna tatizo.
nafikili ni uelewa wako mdogo ndo umekufanya ukurupuke kuja kuandika post hii!
Kama ni hivo walitakiwa waandike picha kutoka maktaba.
 

Jifunze kujibu hoja kutokana na mada husika.Hoja hapa ni ITV kuchanganya picha bila kujulisha watu kuwa ni za maktaba tena ilhali walikuwa na picha za tukio halisi.
 
Tatizo siyo hilo, tatizo ni kwamba wameonesha za CCM

hapa labda ndugu yangu ufuatili kila siku zinaonyeshwa itv wanarusha story balance kwa chadema na ccm,kitu mnacholalamikia itv mbona hakipo kwani jamaa wanafanya mikutano zaidi ya kumi kwa siku kwa timu tofauti kabisa na chadema ambao wanfanya mkutano mmoja ama miwili hivyo kama mwandishi wa habari mzuri hautategemea mkutano mmoja pekee na hicho ndicho wanajf kinachotusumbua mfano ukiwa makiba na mbuguni jana kulikuwa kukavu,arusha mjini mvua
 

Umeisoma post vizuri?Umeisoma na kuielewa?Ameandika kuwa habari inahusu kampeni ya siku hiyo na ndio maana mwandishi wa ITV akachanganya picha za matukio ya siku tofauti kuripoti habari ya siku moja.
 
Umeisoma post vizuri?Umeisoma na kuielewa?Ameandika kuwa habari inahusu kampeni ya siku hiyo na ndio maana mwandishi wa ITV akachanganya picha za matukio ya siku tofauti kuripoti habari ya siku moja.

nimeiangalia na kusikiliza vizuri amesema makada wa sisi wameendelea na mikutano ya kampeni katika kata mbalimbali hakuna neno leo lililotakwa ndugu yangu hiyo ya kuchanganya picha mimi siyo mtaalamu na wala siingilia na wala siyo interest yangu mimi naangalia hoja zinazotolewa kwa ajili ya maendeleo ya wana arumeru mashariki hata zikiwekwa picha za uzinduzi igunga ama manzese siyo kitu cha msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…