tukiacha siasa kuna mtu ambaye haangalii TV kabisa? tukiwatoa wale ambao hawana/hawamiliki TV kwa sababu za kiuchumi na Kukosekana kwa miundombinu ya umeme

HD ina MB nyingi na Vifurushi vya Satellite ni gharama sana! Na kwa sasa TV za Tanzania azipati mapato kama zamani. Pia Hardware za HD ni ghali mno,So kulipia HD Satellite Bundles ITV itakufa
Tv matraco hii tunaipenda sana, imetukuza hadi kufikia hapa, mzee wangu tangu utoto wake amelikuta lile Isidingo, name nimelikuta na nikategemea kuwalisisha wajukuu zangu ila bahati mbaya limejifia hapo mwaka juzi tu.