ITV kwa hili mmekiuka maadili ya chombo chenu!

ITV kwa hili mmekiuka maadili ya chombo chenu!

Mkuu kama naongea uongo nipo tayari kuwajibishwa. Kuanzia Episode 21- 23 ya leo ndiyo zimeonesha upuuzi wenyewe.
Unajua mm nilikua sijaelewa nilivyowaona chooni [emoji134] [emoji134] nikawa najiuliza wanafanyajee wale wanaume au wanakabana yaan ndo umenifungua macho ndo mana anataka kufungua saloon ya kike mtto wa kiume hapana aisee wamefika pabaya itv kwahyo yule kaka atakua anawala dada na kaka ake [emoji15] [emoji15] na eatv siri ya familia kuna usagaji pia sa 12 na 30 jion
 
Mie leo niliutazama huo mchezo ila pale sikujua kama wale waliyokuwa bafuni ni wanaume wote.
Ni wanaume wote ila mm nilikua najua labda wanakabana yaan mtoa mada kanifungua
 
Sio hiyo tu hat East Africa kwenye tamthilia ya siri za familia kuna dada anaigiza kama msagaji imenitia kichefuchefu sana cjui vijana wanalishwa nini na ting'a lao na 1[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu. Kuna humo ndani kaigizi basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.

Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.

Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.

ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.
Thanks, nilikuwa cjui kama kuna tamthilia kama hii, ngoja nianze kuifuatilia!
 
Unajua mm nilikua sijaelewa nilivyowaona chooni [emoji134] [emoji134] nikawa najiuliza wanafanyajee wale wanaume au wanakabana yaan ndo umenifungua macho ndo mana anataka kufungua saloon ya kike mtto wa kiume hapana aisee wamefika pabaya itv kwahyo yule kaka atakua anawala dada na kaka ake [emoji15] [emoji15] na eatv siri ya familia kuna usagaji pia sa 12 na 30 jion
Kama uliangalia hata iliyopita sehemu ya 21 pale walikuwa bar na huyo Robert, Mrisho na binti fulani ambaye imetokea amempenda Robert, baadaye akaona anapapaswa Mrisho kush Washroom na yule dada akamchana Mrisho kuwa hiyo tabia ya ku-deal na Gays itakoma lini na akamwambia Julieth na Robert wanatoka familia moja. Yaani kuna ujinga unaendelea mle. Serikali iliangalie hili haya si mafunzo mema kwa jamii yetu.
 
EATV kuanzia saa 4 usiku wanakipindi kinaitwa AMSHA POPO, kinapiga nyimbo za ajabu ajabu hata huwezi kutizama na watu unaowaeshimu.
Sasa watu unaowaheshimu saa 4 usiku wapo macho wanatafuta nini wakati vituo vingi vya TV mambo ya kikubwa huanza saa 4
 
kweli, kama mtu una watoto huwezi kukaa nao ukaangalia hiko kipindi.
Sasa mkuu saa 4 za usiku watoto wako wapo macho wanatafuta nini na asubuhi watawahi jihimu kwenda shule kweli?
 
Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu. Kuna humo ndani kaigizi basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.

Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.

Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.

ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.

Ndiyo maana Serikali ikawawekea Chuo Kikuu cha Sanaa cha Bagamoyo ili mkatoe ujinga wa kutofahamu nini maana ya Sanaa na uwasilishaji wake kwa audience. Kwa kukusaidia tu katika Drama yoyote Character anatakiwa kuuvaa ule uhusika 100% ili kile anachotaka kukifikisha kwa Jamii kifike vizuri na sawia hivyo basi nadhani tena badala ya kuwalaumu na kuwashutumu ungekuwa wa Kwanza kuwasifu kwa wanachoigiza kwani kwa uelewa wako " finyu " wa masuala mazima ya Sanaa utaona wanakosea au wanajizalilisha ila tunaojua tunafurahi kwani wanafikisha ujumbe ambao kwa namna moja au nyingine utasaidia kubadili mwenendo mzima wa Jamii yetu ambayo sasa " imekengeuka " huku Vitendo vya " Kishoga " vikizidi kushika kasi tena hasa kwa Vijana.

ITV hongereni sana kwa hiyo Program na BASATA nina imani nanyi kuwa mmebobea katika Sanaa na Maudhui yake hivyo sitegemei kama nanyi " mtakengeuka " na kuufungia huo mchezo na badala yake nadhani mtawaandalia TUZO hao Characters wote wa huo mchezo. Unakataa huo mchezo usionyeshwe au na Wewe ni " Mdau " wa " mauza uza " hayo ya Ushoga hivyo unaogopa sasa upuuzi wenu kuwekwa hadharani?
 
Back
Top Bottom