ITV kwa hili mmekiuka maadili ya chombo chenu!

Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu. Kuna humo ndani kaigizi basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.

Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.

Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.

ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.
Wasanii huandika au kuigiza mambo yanayotokea kwenye jamii zao.Lengo kubwa ni kuelimisha,kufundisha,kuburudisha,na kufurahisha.Hii kitu unaitwa Fasihi.
 
Wimbi la mapenzi ya jinsia moja ni kubwa sana kwa sasa.
Dunia imefika hapo imeweka kituo
 
Wasanii huandika au kuigiza mambo yanayotokea kwenye jamii zao.Lengo kubwa ni kuelimisha,kufundisha,kuburudisha,na kufurahisha.Hii kitu unaitwa Fasihi.
sio kila kinachoigizwa kinareflect society, vingine vinaigizwa ili kupandikiza idea ambazo ni non-existent kwenye hio jamii ili viwe existent.
 
sio kila kinachoigizwa kinareflect society, vingine vinaigizwa ili kupandikiza idea ambazo ni non-existent kwenye hio jamii ili ziwe existent.
Kwani mambo ya ushoga hayapo Tanzania hata unapingana na Mimi??
 
yapo ila yanafanyika kwa vificho sana, maigizo kama haya yanayoigizwa siku hizi yanaonyesha kama ushoga ni kitu cha kawaida. mliletewa tamthilia ya empire mkaifurahia kweli, ila mule ndani kuna shoga, sasa ukiwa na akili ndogo utaona ni tamthilia ya kawaida kumbe ndo ilikua INTRODUCTION OF HOMOSEXUALITY IN TANZANIA.
 
Wewe unaishi mkoa gani hadi unasema mambo ya kishoga yanafanyika kwa kificho?? Yawezekana uko bara na kama uko Dar lakini huoni haya mambo bhasi utakuwa sio mtu wa kujichanyanga mitaani.
Ushoga haufanyiki kwa kificho Tanzania hususani jijini Dar na chocho zake.
 
ni kwamba tunaishi mitaa miwili tofauti, wewe mtaa wako inaonekana una mashoga.
 
Kumbe unajua lakini unajitoa ufahamu, nashukuru kwa kutambua kuwa hawa jamaa wapo mitaani pamoja na mtaani kwangu.
 
Namshukuru Maulana kwa sababu labda Isidingo naangalia siku moja moja hata siufuatilii mtiririko tena. Baada ya hapo sijui kipindi kingine hata taarifa kwani weshawekewa sg mguuni
 
Kumbe unajua lakini unajitoa ufahamu, nashukuru kwa kutambua kuwa hawa jamaa wapo mitaani pamoja na mtaani kwangu.
sijakataa uwepo wao. ila huwezi kuelewa ninachozungumza kwa sababu zako binafsi.
 
Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu. Kuna humo ndani kaigizi basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.

Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.

Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.

ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.
Sio hiyo tu hat East Africa kwenye tamthilia ya siri za familia kuna dada anaigiza kama msagaji imenitia kichefuchefu sana cjui vijana wanalishwa nini na ting'a lao na 1[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
Wewe unaishi mkoa gani hadi unasema mambo ya kishoga yanafanyika kwa kificho?? Yawezekana uko bara na kama uko Dar lakini huoni haya mambo bhasi utakuwa sio mtu wa kujichanyanga mitaani.
Ushoga haufanyiki kwa kificho Tanzania hususani jijini Dar na chocho zake.
Sielewi kwanini unatetea upuuzi huu? Kama ni mmoja wao sema tu.
 
Mie leo niliutazama huo mchezo ila pale sikujua kama wale waliyokuwa bafuni ni wanaume wote.
Ndiyo hivyo mkuu. Ndiyo maana Dada yake huyo Robert ameigiza mpenzi wake pia wa Mrisho. Yaani Mrisho anatafuna Dada na kaka mtu. Na ndiyo ataenda kuwafumania pale, unaona kaona Fulana ya Kaka yake na ndiyo kawaona wapo wote bafuni wanaoga.
 
Hapa ndipo napoomba ile roho ya Duterte ifanye kazi na huku kwetu
 
Back
Top Bottom