Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Kuna Tamthiliya ya Kibongo inarushwa kila Jumapili saa 1.30 jioni kupitia kituo cha ITV kwa jina la "MAMA KUBWA",binafsi nilikuwa naifuatili ila inaanza kunitia kichefu chefu.
Kuna humo ndani kaigiza basha jina lake halisi anaitwa Mrisho, kuna kijana mwingine anaigiza kama bwabwa, yaani Shoga anaigiza kwa jina la Robert. Nimeona tena wanaigiza kipumbavu kabisaa, maana mara washikane shikane mara hii wanaoga wote bafuni. Stupid saana.
Ningeshauri BASATA waifungia Tamthiliya hii na ikiwezekana kuwapa onyo Kali ITV.
Ifahamike kituo hiki cha TV tulikuwa tunakiheshimu hata kuangalia na watoto tulionelea inafaa, sasa badala yake wanataka kuharibu maadili yetu kweupe.
Japokuwa tunajua Ushoga upo lakini si kwa kuendelea kuushabikia.
ITV mnakishushia heshimu kituo chenu cha TV. Chukueni hatua.