ITV kupost kipindi kuhusu mkurugenzi wa SIDO aliyetenguliwa ni kukosa umakini

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,520
2,000
Nimefuatilia kipindi cha dakika 45 ambapo aliyekuwa mkurugenzi wa sido alikuwa anahojiwa.

Katika kipindi hicho Eng Omar Jumanne Bakari alikuwa anatambulishwa kama mkurugenzi mkuu wa sido wakati ukurugenzi wake ulishatenguliwa.
Nawashauri ITV wawe makini hata kama kipindi ni recorded cheo kilishakuwa overtaken by event ni heri wangekiedit kwenye cheo kama walishindwa kukiondoa.

Kimsingi wamechemsha
 

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,635
2,000
Nimefuatilia kipindi cha dakika 45 ambapo aliyekuwa mkurugenzi wa sido alikuwa anahojiwa.
Katika kipindi hicho Eng Omar Jumanne Bakari alikuwa anatambulishwa kama mkurugenzi mkuu wa sido wakati ukurugenzi wake ulishatenguliwa.
Nawashauri ITV wawe makini hata kama kipindi ni recorded cheo kilishakuwa overtaken by event ni heri wangekiedit kwenye cheo kama walishindwa kukiondoa.
Kimsingi wamechemsha
Sioni kama kuna tatizo lolote...
 

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,520
2,000
Saa 3: usiku wanamuhoji MTU wanamtambulisha kama mkurugenzi mkuu wa sido wakati mchana ukurugenzi wake umetenguliwa.
Hilo ni tatizo. kimsingi jamaa ametambulishwa kwa cheo ambacho sio chake.
Hilo ni tatizo.
Ukisikia kutokwenda kwa kasi ya magufuli ndio huko. Jamaa hawapo update. Poor them
 

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,520
2,000
Kipindi kilirekodiwa wiki iliyopita, dakika 45 sio live event.
Walitakiwa wakiedit basi au wasikirushe hewani kwa.kuwa kimekuwa overtaken by event ya utenguzi.
Kuwa muelewa sio kila kinachorekodiwa na hizi stations zinarushwa hewani.
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,468
2,000
Inaelekea wao ITV hawakuwa na taarifa ya uteuzi huu kwa kuwa naona imesambazwa jioni hii.
 

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,520
2,000
aelekea wao ITV hawakuwa na taarifa ya uteuzi huu kwa kuwa naona imesambazwa jioni hii.
Ni wazembe na hawaendani na kasi ya magufuli.
Hilo suala ni nyeti sana ni nyeti ni kheri wangehairisha kipindi
 

kinguo

JF-Expert Member
May 27, 2016
440
500
Kwani Eng. Omary ameshakabidhi ofisi? Au bado. Kama inasomeka bado mkurugenzi wa sido. Uteuzi umefanyika leo. Kwani Magu wakati anatangazwa na tume kwamba ndio rais ina maana ilikoma palepale jk sio rais. Acheni akili za kindezi. Wote nyie vilaza buku mbili.
 

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,144
2,000
Wangeweza kuandika au mtu kueleza hilo jambo kuwa ilirekodiwa alipokuwa na cheo hicho...ni masekunde tu inachukua...ni walewale wasiojua kazi wanazofanya kujiimarisha na kujipaishaa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom