mnengene
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 4,089
- 6,273
Nimefuatilia kipindi cha dakika 45 ambapo aliyekuwa mkurugenzi wa sido alikuwa anahojiwa.
Katika kipindi hicho Eng Omar Jumanne Bakari alikuwa anatambulishwa kama mkurugenzi mkuu wa sido wakati ukurugenzi wake ulishatenguliwa.
Nawashauri ITV wawe makini hata kama kipindi ni recorded cheo kilishakuwa overtaken by event ni heri wangekiedit kwenye cheo kama walishindwa kukiondoa.
Kimsingi wamechemsha