vitajieni ving'amuzi vingine vyenye ITV nami niwafuate huko, niachane na hiki cha magamba
mbona wenyewe kupitia digitek wanabania clouds?
Hawawezi kujitoa lasivyo watafungiwa kurusha matangazo. Tatizo lililopo Star times lina rekebishwa.
Wanataka kutulazimisha kuangalia habari toka tbccm,wananchi tukatee!
Kutokana ITV kueleza kuwa inahujumiwa kwenye king'amuzi cha Star Times inaweza kujitoa muda wowote.Pia ITV wameshaanza kutoa matangazo wakitaja orodha ya ving'amuzi ambavyo vinarusha matangazo yao.Katika orodha hiyo king'amuzi cha Star times hakipo.
Kwanza suala la kujitoa halipo kisheria kwani wenye vituo vya tv tanzania sharti moja la kupata leseni ni kuonyesha tv zote za kitaifa bure halafu wanandugu suala hili ni lakifundi zaidi na ndiyo maana star times wamewasiliana na TCRA ili kulitatua na tatu ukweli ni kwamba ITV ina bifu kubwa na TBC [Startimes] kwani wao ITV walikuwa na mchakato wa kuingia ubia na kamuni moja ya kichina kufanya kama ilivyo startimes ila TBC wakati Tido ndiyo alikuwa CEO aliwatangulia na hivyo kuwa kama mtu aliyenyang'anywa tonge wakati lilikuwa linaingia mdomoni.Kutokana ITV kueleza kuwa inahujumiwa kwenye king'amuzi cha Star Times inaweza kujitoa muda wowote.Pia ITV wameshaanza kutoa matangazo wakitaja orodha ya ving'amuzi ambavyo vinarusha matangazo yao.Katika orodha hiyo king'amuzi cha Star times hakipo.
mbona wenyewe kupitia digitek wanabania clouds?
Clouds tv ya wajinga.
Clouds ndiyo nini wewe?wewe utakuwa kizazi cha facebook,unatuletea habari za clouds,wewe wa wapi wewe?
Clouds tv ya wajinga.
mbona wenyewe kupitia digitek wanabania clouds?
Clouds sio miongoni mwa TV tano ambazo kwa majibu wa TCRA kila king'amuzi cha local lazima Kirushe.
clouds Sawa tu na TV Abood Morogoro.
Mkuu wakati mwingine inategemea mmiliki wa king'amuzi nini anataka nini hataki kulingana na matakwa ya kibiashara, Hasa ukiachana na chanel za lazima kuwa ziwep.kwa hiyo ndio wanarusha sauti bila picha? na vipi kuhusu aljazeera na citizen ya kenya?