Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 152
Hawawezi kujitoa lasivyo watafungiwa kurusha matangazo. Tatizo lililopo Star times lina rekebishwa.
Hawawezi kujitoa lasivyo watafungiwa kurusha matangazo. Tatizo lililopo Star times lina rekebishwa.
Hawawezi kujitoa lasivyo watafungiwa kurusha matangazo. Tatizo lililopo Star times lina rekebishwa.
Kwa nini afungiwe kurusha matangazo? Mbona sio kila king'amuzi kina channels zote za nchi?Hawawezi kujitoa lasivyo watafungiwa kurusha matangazo. Tatizo lililopo Star times lina rekebishwa.
Huo ndio ukweli c unaona taarifa ya hh
Habari zilivyotofauti tbc ni kama kijiwe tu
Hivi nyie mnaotumia startimes mmechawiwa au?:what:
Wanataka kutulazimisha kuangalia habari toka tbccm,wananchi tukatee!