ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,414
Reaction score
16,787
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
 
Mbona Sijaona Kosa Lao Acha Ushabiki Wa Kijinga Na Wewe.
NA MIMI NASEMA WAPIGWE TU TUMECHOKA SASA.
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

Acha woga kama mtoto wa kike ww.Hayo sio maoni ya ITV ni ya wananchi na lazima asome salamu ziwafikie wahusika.
KAMA VP WAPIGWE TU!
 
kijana mwenzangu msakatonge nakushangaa sana,pinda aliposema "wapigwe tu"alikuwa haliingizi taifa katika machafuko?mbona kijana haujitambui?pinda alichokisema live nani alikihariri?
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

Acha uchochezi ww, ulitaka asome comment gani? polisi waache ujinga, wanapiga watu hovyo, wanashirikiana na wahalifu, ukipeleka tatizo lako polisi wanataka hela, Leo polisi wamepiga mwandishi wa habari wa ITV, walimuua Mwangosi, ulitaka ITV watoke na matarumbeta barabarani kuwapongeza polisi Kwa kupiga na kuonea watu .
 
Machafuko kwa kiasi kikubwa hayatokani na uhuru wa watu kutoa maoni ama kushiriki katika mijadala...bali yatasababishwa na matendo ya dola kugandamiza haki zao za msingi,kudharau maoni na hisia zao, na ubaguzi uliokithiri unaopelekea wachache kuhodhi fursa za kiuchumi kifisadi.
 
We unaweza kuhariri maoni ya mtu? Au hata huelewi maoni maana yake nini.
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

Acha uwoga dogo. watanzania hawawezi kuingizwa kwenye majanga labda waamue kujiingiza wenyewe.

imepita miaka zaidi ya hamsini yakanenwa maneno MAKUBWA na MAZITO kuliko haya ya sasa na watanzania ni kama hawasikii kitu.

kuwa na amani hakuna machafuko maana watz ni waoga mno. hata alietoa maoni yaliyokutisha hawezi kutekeleza alichokinena.
 
Waandishi MLITAKIWA KUJIPANGA KISHA MPATE MAELEKEZO KWA WAHUSIKA.
PINDI MKIFIKA HAPO MKAE WAPI ILI KUSUBIRI KUPEWA TAARIFA YA KILICHOJIRI.
MSIWE MNAJIPELEKA MNAVYOTAKA TU, SABABU ETI MWANA HABARI.
UTARATIBU HURATIBIWA.
KUKIMBILIA NANI KASEMA NN NA NANI KAJIBU NN, MUHUSIKA KAFIKA ANACHEKA KAONDOKA ANACHEKA. NYINYI MNALIA, POLE SANAAA.
JITAMBUENI KTK KAZI YENU
 
tatizo la mengi anataka nchi hii wote tuwe chini yake pamoja na serikali mpaka rais awe anashauriwa nayeye
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

!
!
polisi ni viumbe ambavyo havistahili kuishi.....wauwawe kwa wingi. Siwapendi hawa watu, Mungu anisamehe. Wafe vifu vya tabu mno ndio dua langu usiku na mchana.
 
Acha uchochezi ww, ulitaka asome comment gani? polisi waache ujinga, wanapiga watu hovyo, wanashirikiana na wahalifu, ukipeleka tatizo lako polisi wanataka hela, Leo polisi wamepiga mwandishi wa habari wa ITV, walimuua Mwangosi, ulitaka ITV watoke na matarumbeta barabarani kuwapongeza polisi Kwa kupiga na kuonea watu .

polisi wasio na matatizo tunawajua, hao hata nafsi zetu zitawatetea wakati wa shida.

kwa polisi wakorofi pia tunawajua na kamwe hatutawatetea kwa lolote, ZINAUMIZA SANA TABIA ZA BAADHI YA POLISI.

ILI WAJUE KUA NA SISI NI BINADAM KAMA WAO NA SIO HAKI KUNYANYASWA WAKATI SHERIA ZIPO WAZI, " ACHENI WAPIGWE TU, NA WAPIGWE MAANA TUMECHOKA".
 
Kweli mahaba taabu. Mtu mzima unajisemea maneno ka ch.oo? Kifungwe kimesema nini?? Kituo huwa hakisemi, watu ndo wamesema. Hata kama hamtatangaza, elewa kuwa watu sasa wamechokaaaaa. Chokochoko mtafanya, mtaua, mtapiga na kulemaza lakini, nia ya moyo haifutwi kwa mtutu, kabla hamjaharibu zaidi, leteni maelewano. Kura humaliza mambo yoote.
 
Acha woga kama mtoto wa kike ww.Hayo sio maoni ya ITV ni ya wananchi na lazima asome salamu ziwafikie wahusika.
KAMA VP WAPIGWE TU!

Ndg jaribu kuishirikisha akili uweke ushabiki pembeni. Kazi ya mhariri ni nini.

Ivi unafikiri kwa huo ujumbe kusomwa na mtangazaji mapolisi wameuchukuliaje.?
 
Back
Top Bottom