ITV huu ni unafiki Mkubwa

ITV huu ni unafiki Mkubwa

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Nadiriki kuwaita hivyo kutokana na jinsi walivyofanya coverage ya kufukia fukia tukio la vurugu lililotokea la jana Ubungo plaza. ITV walianza kurusha tukio hili mnamo saa 9 jana na nilikuwa nafuatilia hatua kwa hatua hadi vurugu zinatokea na Renfred Masako kusitisha matangazo ya LIVE. Cha ajabu kwenye taarifa ya habari wameshindwa kuwaeleza Watanzania kwa kina kuhusu zile vurugu ambazo ITV wana video na picha zake zote .

Badala yake wametangaza kuwa mdahalo ulisitishwa bila kuelezea vurugu zilizopelekea mdahalo huo kusitishwa. Kwa mtu ambaye hakuona asingejua intensity ya zile vurugu kama angesikiliza ITV na Nipashe. BBC leo asubuhi wameeleza vzuri sana kuhusu hizi vurugu tofauti na ITV waliokuwepo kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Maswali yangu ni haya:

1. Mnaficha details hizi kwa manufaa ya nani?
2. Mnamsaidiaje Mtanzania kujua kinachoendelea kwa uhalisia wake kama hata matukio yaliyo obvious mnayaficha?
3. Kwani nyie ndio mliomtuma Makonda hata muogope kueleza ukweli?
4. Tukio lilijitengeneza lenyewe iweje muogope kisa eti mtaambiwa mnachochea vurugu kama si kutojua mnachokifanya?
5. Mtajiitaje chombo cha jamii wakati jamii mnaificha mambo ambayo ni obvious?
6. Jamii itawezaje kubadilika na kujitafakari kwa ajili ya kufanya maamuzi wakati triggers au vichocheo muhimu vya kufanya maamuzi mnavificha waziwazi?
7. Ni madhara gani mngeyapata kama mngeeleza ukweli kuhusu kilichotokea?

Kama ninyi mnasema mnawahabarisha watanzania basi toeni habari kwa uwazi acheni kuficha au kutoa habari kinafiki .

Kwa kilichotokea jana ITV mmekuwa wanafiki na waoga mkatoa just 30% ya kilichotokea. Kwa staili hii watanzania hawatajua kinachokula nchi yao.

Tunaomba mjirekebishe la sivyo hamtakuwa tofauti na TBC1.
 
ITV si wanafiki, ITV ni weledi na ITV inawapatia watanzania kile wanachokosa kwenye TV nyingine, tema mate chini.
 
Kwa kilichotokea jana kimebinywa kwenye taarifa ya habari kwa nini? Kuna watu walifikiri wanaweza kufuatilia kwenye taarifa ya habari lakini kilichoelezwa kwenye taarifa ya habari kilitiwa maji
 
Media zetu inatokea ajali mbaya asubuhi inagharimu maisha ya watu wachache watatangaza tena kwa kifupi halafu mtaambiwa habari zaidi zitaletwa saa 2 usiku kwenye taarifa ya habari!
 
Kwa maslahi ya Watanzania ambao hatuna bbc wala DW, naomba uweke hapa kile hawa wamesema. Ndiyo faida ya kuwa na vyombo tofauti vya habari.

Ahsante.

Nadiriki kuwaita hivyo kutokana na jinsi walivyofanya coverage ya kufukia fukia tukio la vurugu lililotokea la jana Ubungo plaza. ITV walianza kurusha tukio hili mnamo saa 9 jana na nilikuwa nafuatilia hatua kwa hatua hadi vurugu zinatokea na Renfred Masako kusitisha matangazo ya LIVE. Cha ajabu kwenye taarifa ya habari wameshindwa kuwaeleza Watanzania kwa kina kuhusu zile vurugu ambazo ITV wana video na picha zake zote .

Badala yake wametangaza kuwa mdahalo ulisitishwa bila kuelezea vurugu zilizopelekea mdahalo huo kusitishwa. Kwa mtu ambaye hakuona asingejua intensity ya zile vurugu kama angesikiliza ITV na Nipashe. BBC leo asubuhi wameeleza vzuri sana kuhusu hizi vurugu tofauti na ITV waliokuwepo kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Maswali yangu ni haya:

1. Mnaficha details hizi kwa manufaa ya nani?
2. Mnamsaidiaje Mtanzania kujua kinachoendelea kwa uhalisia wake kama hata matukio yaliyo obvious mnayaficha?
3. Kwani nyie ndio mliomtuma Makonda hata muogope kueleza ukweli?
4. Tukio lilijitengeneza lenyewe iweje muogope kisa eti mtaambiwa mnachochea vurugu kama si kutojua mnachokifanya?
5. Mtajiitaje chombo cha jamii wakati jamii mnaificha mambo ambayo ni obvious?
6. Jamii itawezaje kubadilika na kujitafakari kwa ajili ya kufanya maamuzi wakati triggers au vichocheo muhimu vya kufanya maamuzi mnavificha waziwazi?
7. Ni madhara gani mngeyapata kama mngeeleza ukweli kuhusu kilichotokea?

Kama ninyi mnasema mnawahabarisha watanzania basi toeni habari kwa uwazi acheni kuficha au kutoa habari kinafiki .

Kwa kilichotokea jana ITV mmekuwa wanafiki na waoga mkatoa just 30% ya kilichotokea. Kwa staili hii watanzania hawatajua kinachokula nchi yao.

Tunaomba mjirekebishe la sivyo hamtakuwa tofauti na TBC1.
 
Nadiriki kuwaita hivyo kutokana na jinsi walivyofanya coverage ya kufukia fukia tukio la vurugu lililotokea la jana Ubungo plaza. ITV walianza kurusha tukio hili mnamo saa 9 jana na nilikuwa nafuatilia hatua kwa hatua hadi vurugu zinatokea na Renfred Masako kusitisha matangazo ya LIVE. Cha ajabu kwenye taarifa ya habari wameshindwa kuwaeleza Watanzania kwa kina kuhusu zile vurugu ambazo ITV wana video na picha zake zote .

Badala yake wametangaza kuwa mdahalo ulisitishwa bila kuelezea vurugu zilizopelekea mdahalo huo kusitishwa. Kwa mtu ambaye hakuona asingejua intensity ya zile vurugu kama angesikiliza ITV na Nipashe. BBC leo asubuhi wameeleza vzuri sana kuhusu hizi vurugu tofauti na ITV waliokuwepo kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Maswali yangu ni haya:

1. Mnaficha details hizi kwa manufaa ya nani?
2. Mnamsaidiaje Mtanzania kujua kinachoendelea kwa uhalisia wake kama hata matukio yaliyo obvious mnayaficha?
3. Kwani nyie ndio mliomtuma Makonda hata muogope kueleza ukweli?
4. Tukio lilijitengeneza lenyewe iweje muogope kisa eti mtaambiwa mnachochea vurugu kama si kutojua mnachokifanya?
5. Mtajiitaje chombo cha jamii wakati jamii mnaificha mambo ambayo ni obvious?
6. Jamii itawezaje kubadilika na kujitafakari kwa ajili ya kufanya maamuzi wakati triggers au vichocheo muhimu vya kufanya maamuzi mnavificha waziwazi?
7. Ni madhara gani mngeyapata kama mngeeleza ukweli kuhusu kilichotokea?

Kama ninyi mnasema mnawahabarisha watanzania basi toeni habari kwa uwazi acheni kuficha au kutoa habari kinafiki .

Kwa kilichotokea jana ITV mmekuwa wanafiki na waoga mkatoa just 30% ya kilichotokea. Kwa staili hii watanzania hawatajua kinachokula nchi yao.

Tunaomba mjirekebishe la sivyo hamtakuwa tofauti na TBC1.

Mkuu umeongea point.safi sana.Slogan yao ya ITV daima imekuwa ITV kificho.
 
Mkuu MVUMBUZI, wewe unapendekeza ITV wangeonyesha nini?
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa ajali hapo, wangeomba radhi eti picha zinatisha halafu wangeonyesha mpaka maiti. Ila kitu muhimu kama hiki wana-edit, hii kweli ndio "supabrandi?"
 
tatizo ni mfumo wa nchi hawataki ukweli uwe hadharani hata siku moja, kwa nini walikata umeme maeneo mengi nchi? vyombo vingapi vya habari vimefungiwa kwa kusema ukweli? Mwana halisi imebaki historia kifungo kisichojulikana adhabu gani hii unafunga husemi unafungua lini kama ni maisha sema maisha, ITV wanatambua kuwa kuna walioona na watasambaza ukweli. Tanzania ukionesha uovu wa watu wakuu wa chama tawala unaitwa msaliti, wahy wafungiwe biashara? Kukubali kurusha hiyo midahalo tunawapongeza wanaonesha sio wanafiki.
 
wewe utakua umetumwa, hakuna tv inayotoa habari za ukweli na uwazi hapa tz kama ITV na kama ulimsikiliza Masaku vizuri alisema anadhani kilichokua kinaendelea hakina manufaa kwa watanzania kwa sababu waanzania walitaka kuona na kusikiliza mada sio vurugu. hivyo wewe ni mchochezi tu kama makonda
 
Nadiriki kuwaita hivyo kutokana na jinsi walivyofanya coverage ya kufukia fukia tukio la vurugu lililotokea la jana Ubungo plaza. ITV walianza kurusha tukio hili mnamo saa 9 jana na nilikuwa nafuatilia hatua kwa hatua hadi vurugu zinatokea na Renfred Masako kusitisha matangazo ya LIVE. Cha ajabu kwenye taarifa ya habari wameshindwa kuwaeleza Watanzania kwa kina kuhusu zile vurugu ambazo ITV wana video na picha zake zote .

Badala yake wametangaza kuwa mdahalo ulisitishwa bila kuelezea vurugu zilizopelekea mdahalo huo kusitishwa. Kwa mtu ambaye hakuona asingejua intensity ya zile vurugu kama angesikiliza ITV na Nipashe. BBC leo asubuhi wameeleza vzuri sana kuhusu hizi vurugu tofauti na ITV waliokuwepo kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Maswali yangu ni haya:

1. Mnaficha details hizi kwa manufaa ya nani?
2. Mnamsaidiaje Mtanzania kujua kinachoendelea kwa uhalisia wake kama hata matukio yaliyo obvious mnayaficha?
3. Kwani nyie ndio mliomtuma Makonda hata muogope kueleza ukweli?
4. Tukio lilijitengeneza lenyewe iweje muogope kisa eti mtaambiwa mnachochea vurugu kama si kutojua mnachokifanya?
5. Mtajiitaje chombo cha jamii wakati jamii mnaificha mambo ambayo ni obvious?
6. Jamii itawezaje kubadilika na kujitafakari kwa ajili ya kufanya maamuzi wakati triggers au vichocheo muhimu vya kufanya maamuzi mnavificha waziwazi?
7. Ni madhara gani mngeyapata kama mngeeleza ukweli kuhusu kilichotokea?

Kama ninyi mnasema mnawahabarisha watanzania basi toeni habari kwa uwazi acheni kuficha au kutoa habari kinafiki .

Kwa kilichotokea jana ITV mmekuwa wanafiki na waoga mkatoa just 30% ya kilichotokea. Kwa staili hii watanzania hawatajua kinachokula nchi yao.

Tunaomba mjirekebishe la sivyo hamtakuwa tofauti na TBC1.

Hata hivyo @ITV wasingekatisha matangazo wangeacha wananchi wawaone wanavyofanya.
 
Mbona waliripoti ITV hizo vurugu ingawa heading ilikuwa nyingine
Uwe na analysis ya kutosha au na wewe ni wale wale wakina makonda??@mvumbuzi
 
waonyeshe tamthilia kma habar wameshindwa na pumbafu wengne mnajifanya kumponda makonda na nyny ndo wale wale
 
alafu wataendelea na vipindi vya burudani nk. hii ndio tofauti kubwa ya media za tanzania na kenya
 
Labda wanaogopa kufungiwa kama lilivyofungiwa gazeti la -----------.
 
Media nyingi Tanzania haziko huru, angalau ITV
 
Mh mi hata sitamani kuchangia kitu maana siku hizi ukifungua domo tu unalo,utashangaa hata umebebeshwa gunia lisilo lako.
Wameogopa yasije wakuta yale ya kuitwa wachochezi kama yule mzee mbondaji anaesubiria lihukumu lake.
Mpaka nakumbuka like song la kenya NCHI YA KITU KIDOOOO.. . . . . . . . . Utamalizia tu hapo.
Usiogope sana maana zimebaki 31 na 30 kumi na moja na 28 moja ktk 2015 katika kufanya suluhisho .
Jamani ye,alie makini atanipa vizuuuri.
Yule avumae baharini kwani nae keshaingia kwenye sirikali ya kufunika ukweli na funua uongo ?.
Mwisho.
 
Back
Top Bottom