ITV, hii ni dharau kwa timu ya taifa!

ITV, hii ni dharau kwa timu ya taifa!

kisinzi

Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
18
Reaction score
6
Mtangazaji wa ITV michezo anatupa habari zingine za kina Mess na Pele bila kutaja habari za timu yetu iliyocheza na kushinda leo! Habari gani ina uzito zaidi ya hii? Tuenzi vyetu kwanza.
 
Jamaa hawaeleweki, unaweza kutangaza ukasikia unatakiwa kulipia.
We unawaona kama wako timamu wale, mi na fikiri hata Star TV bora waanze kurusha
Ligi ya Msumbiji kuliko hii ya bongo Mizengwe kila kona.
 
Mkuu,
Ni kweli!
 
Mtangazaji wa ITV michezo anatupa habari zingine za kina Mess na Pele bila kutaja habari za timu yetu iliyocheza na kushinda leo! Habari gani ina uzito zaidi ya hii? Tuenzi vyetu kwanza.
Kumbe mkuu na wewe umeonaeeeh eti huyu Lofa MAULID KITENGE anasahau kutangaza taarifa za timu yetu ya TAIFA anakumbuka ufaransa, italy na argentina....Mzembe sasa huyu kitenge amefikia kuona habari za simba kugombana na yanga kutangaza hela za usajili ni bora kuliko timu yetu.....................Mpuuuuuz nimekudharau
 
Uandishi ni taaluma na taaluma ya uandishi inaongoza kwa kuvamiwa na vilaza. Tatizo si ITV, tatizo ni waandishi wasiotaka kujiendeleza. Jamaa amechemka sana, anachoweza kufanya ni kushusha hadhi ya ITV tu. Nitaichukia kwa utangazaji wa aina hii. Bahati tuna uchaguzi mwingi, wameingizwa tayari ZUKU, STARTIMES NA TING. ZIPO STATION NYINGI HUKO. SIKUHIZI NITAKUWA NAIRUKA ITI AU KUIBLOCK KWANGU
 
Mi nafikiri tetesi za OKWI kwenda Yanga ndo zinaleta hasira hapa.
 
Hivi walishinda ngapi maana nilishaacha kuangalia wala kusikiliza baada ya Maximo kuondoka
 
Kumbe mkuu na wewe umeonaeeeh eti huyu Lofa MAULID KITENGE anasahau kutangaza taarifa za timu yetu ya TAIFA anakumbuka ufaransa, italy na argentina....Mzembe sasa huyu kitenge amefikia kuona habari za simba kugombana na yanga kutangaza hela za usajili ni bora kuliko timu yetu.....................Mpuuuuuz nimekudharau
Acha kutoka mapovu wewe huna habari kutangaza habari za timu hapa bongo unatakiwa ulipie?Muulize Tenga na Tihefu hefu yake ni taasisi ya nani kama sio magamba...kwanza unalia lia kuna timu ya taifa bongo?
 
Uandishi ni taaluma na taaluma ya uandishi inaongoza kwa kuvamiwa na vilaza. Tatizo si ITV, tatizo ni waandishi wasiotaka kujiendeleza. Jamaa amechemka sana, anachoweza kufanya ni kushusha hadhi ya ITV tu. Nitaichukia kwa utangazaji wa aina hii. Bahati tuna uchaguzi mwingi, wameingizwa tayari ZUKU, STARTIMES NA TING. ZIPO STATION NYINGI HUKO. SIKUHIZI NITAKUWA NAIRUKA ITI AU KUIBLOCK KWANGU
Huna lolote wewe ni gamba na unataka kutuiga makamanda tulivyopiga chini kuangalia li tv lenu la kinafiki TBCCM...kama vp sepa tu urudi kwenu tbcmagamba!!!!
 
Kweli we Mchokozi hata matokeo ya timu ya taifa huja sikia hata tetesi haya mi nakuambia Ila camini kua hujui stars 1-harambee 0 goli hilo moja lilifungwa mchezaji wa club ya Azam fc na pia ni beki wa kati timu ya taifa (center half )Agey Morris kunako dakika ya 7 kamacjakosea
 
Hapo kweli walichemsha sana hivi hawana mwasoka pale au nikujitia:what::what: wendo wazimu tu wakati wanaakili timamu! Alafu tunasema uzalendo napenda kuangalia ITV😕😕😱😱😱 Ila jana ckuweza lkn waboronga kwenye michezo wajipange!
 
Acha kutoka mapovu wewe huna habari kutangaza habari za timu hapa bongo unatakiwa ulipie?Muulize Tenga na Tihefu hefu yake ni taasisi ya nani kama sio magamba...kwanza unalia lia kuna timu ya taifa bongo?
bongo hakuna timu ya taifa ila kuna map............................bu yako yanacheza mpira....acha ujinga wewe kama una cha kuchangia kaa kimya
 
Uandishi ni taaluma na taaluma ya uandishi inaongoza kwa kuvamiwa na vilaza. Tatizo si ITV, tatizo ni waandishi wasiotaka kujiendeleza. Jamaa amechemka sana, anachoweza kufanya ni kushusha hadhi ya ITV tu. Nitaichukia kwa utangazaji wa aina hii. Bahati tuna uchaguzi mwingi, wameingizwa tayari ZUKU, STARTIMES NA TING. ZIPO STATION NYINGI HUKO. SIKUHIZI NITAKUWA NAIRUKA ITI AU KUIBLOCK KWANGU
wakati najaribu kufuatilia observation ya JK kutokujua ni kwa nini nchi ni masikini, nimeanza kupata mawazo kuwa mchango mkubwa wa umasikini tulionao na udumavu wa mawazo unachangiwa na vyombo vyetu vya habari.
Sababu zinaweza kuwa nyingi lakini upeo wa hawa jamaa ni mdogo ambao umesababishwa na elimu duni labda. Fikiria ju ya hilo pia!

Mkuu ungefahamu huo udumavu wa mawazo unaanza na mimi na wewe.. huko unakokusema ni baada ya kutoka kwetu.. Na ukitaka kuthibitisha hilo angalia tunavyokataa ukweli kwamba tunao udumavu wa mawazo..! Hatufanyi bidii yeyote ya kuchunguza kabla ya kusema.. Mfano hai unamshambulia Maulidi Kitenge wakati ungeamua kufanya kauchunguzi kadogo tu ungegundua yeye pale ni presenter tu.. Anasoma taarifa iliyotayarishwa na waandaji wa ile taarifa ya habari..
 
bongo hakuna timu ya taifa ila kuna map............................bu yako yanacheza mpira....acha ujinga wewe kama una cha kuchangia kaa kimya
Si nimekwambia wewe ni gamba....hapa ndo umejibu hoja??Haya endelea tena tuufaidi upumbavu wako...
 
Mtangazaji wa ITV michezo anatupa habari zingine za kina Mess na Pele bila kutaja habari za timu yetu iliyocheza na kushinda leo! Habari gani ina uzito zaidi ya hii? Tuenzi vyetu kwanza.
Mimi naomba kutofautiana na wewe kidogo,hata kama itarudiwa ile habari ni kwamba walitanga mwisho kabisa,lakini bila kuipa uzito wowote,nadhani hilo ndiyo kosa lao!
 
Si uangalie stesheni nyingine kwani lazima itv unaipenda ndo maana unaiongelea
 
Back
Top Bottom