ITV, EATV Mnasubiri Nini??

ITV, EATV Mnasubiri Nini??

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Habari zenu wana-JF!!

Bila shaka hizi ni baadhi ya kampuni chache zinazoongoza kwa uhabarishaji makini wa habari huku wengine wakijikongoja,hilo halina ubishi,

Kama Clouds Tv ambayo haifikii hata chembe kwa ITV na EATV iweje CLOUDS sasa wanarusha matangazo yao mpaka falme za kiarabu [UAE] alafu ITV mshindwe?

Jitahidini kuongeza coverage nchi mbalimbali kwani uwezo mnao ni kuamua tu!!

ITV na EATV mnahitaji watenda kazi wabunifu ili kuwafikia watu wengi ndani na nje ya Tanzania.
 
Habari zenu wana-JF!!

Bila shaka hizi ni baadhi ya kampuni chache zinazoongoza kwa uhabarishaji makini wa habari huku wengine wakijikongoja,hilo halina ubishi,

Kama Clouds Tv ambayo haifikii hata chembe kwa ITV na EATV iweje CLOUDS sasa wanarusha matangazo yao mpaka falme za kiarabu [UAE] alafu ITV mshindwe?

Jitahidini kuongeza coverage nchi mbalimbali kwani uwezo mnao ni kuamua tu!!

ITV na EATV mnahitaji watenda kazi wabunifu ili kuwafikia watu wengi I.p.p media ni Nouma hao jamaa huwa hawakurupuki katika mambo yao kama hiyo media yenu ya kienyeji inavyowanyonya wasanii nchini.
 
IPP media hao jamaa. Nouma huwa hawakurupuki katika mambo yao sio kama media zenu za ajabu ajabu
 
Mnaongoza kuwanywesha pombe walemavu halafu mnaenda kuomba msaada wa kupunhuziwa kodi eti mnasaidia sana jamii ya walemavu. Kweli hamkurupuki!
 
Pia nashauri website yao waweke habari kwa haraka na za uhakika waige mfano wa BBC
 
Mchaga yule ubahili na roho mbaya inamsumbua yote hii ni kukipa promo kin'gamuzi chake cha Digitek kiuzike hata Fstv hataki kwenda
 
clouds watakuwa wanatangaza nini uarabuni?
 
Mnaongoza kuwanywesha pombe walemavu halafu mnaenda kuomba msaada wa kupunhuziwa kodi eti mnasaidia sana jamii ya walemavu. Kweli hamkurupuki!

mkuu una ushahidi walemavu wanapewa pombe sherehe anazoandaaga mengi au na wewe umejisikia tu kuandika?
 
Mnaongoza kuwanywesha pombe walemavu halafu mnaenda kuomba msaada wa kupunhuziwa kodi eti mnasaidia sana jamii ya walemavu. Kweli hamkurupuki!

Ccm yeyote lazima apingane na mawazo ya kimaendeleo hiyo ni amri ya chama na lazima itekelezwe.
 
Kwa ITV na EATV kwanii hadi leo hakuna matangazo yao online? wakati teknolojia hii ni rahisi kuitumia? Waamke sasa
 
clouds wajinga sana wanaacha kuboresha chaneli yao hapa nchini wao wanakimbilia uarabuni. Picha zao sijui wanachukua kwa kamera za simu maana hazina mvuto hata kidogo
 
Itv na eatv ni vituo vilivyoimalika na wako vizur kiabari tatizo linalowasumbu ni UBINAFSI.
 
clouds wajinga sana wanaacha kuboresha chaneli yao hapa nchini wao wanakimbilia uarabuni. Picha zao sijui wanachukua kwa kamera za simu maana hazina mvuto hata kidogo

na mie huwanajiuliza hivyo
kumbe wengi?
 
Back
Top Bottom