itv,capital tv na eatv

itv,capital tv na eatv

Chachii

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
91
Reaction score
22
jamani hizi television za ipp wamezipunguza signal au,maana leo cku ya pili sizipati kwenye setelite,signal 21%tu
 
tangu jana ina scrach sijui ni signal weak
 
nunueni madishi ya ft 8 hamtapata shida ya signal kupungua wala nini
 
Hata kwenye futi nane jana na leo itv,capital na eatv hatuwa pati huku mtukura mpakani mwa ug na tz twapata star,ch10 na tv za mozambique
 
Mi pia tatizo hilo limenipata siku ya pili sasa. Tatizo haya makampuni yetu, kama kuna mabadiliko huwa hawatuambii walaji wao
 
Naona kama watakuwa na technical problem alafu wao hawaja tambua sijui wana angalia ving'amuzi tu mmh! Majanga
 
Tbcccm inapatikana wadau intelsat 906 64E freq 3892 v 3072 Clear kabsa.ila ipp magumashi mengi hata wki mbili hazijapita au wanatulazishia hyo digiteki!
 
Kiukweli ipp media signal ziko chini sana, hata tbc ni hivyo tu na taarifa hawasemi kama kuna shida au ndiyo mvua za vuli hizo.
 
Back
Top Bottom