ITV acheni woga

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
11,092
Reaction score
17,381
Tangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk
 
Wanaogopa kumkasiri malaika mkuu wa magogoni.

Na yale madole yake anavyongea lazima waandishi wamsikilize Baba bashite.
 
Usiwaamulie cha kufanya, wewe sio mwananchi pekee unayesikiliza habari wanazorusha.
 
Wanatumia ile principle inayosema mtumikie 'kafir' upate mradi wako...........
 
"Be careful! Watch it!"
Hapo akili yako lazima iwe ya kipombe pombe
 
kama ungekuwa na hisa zako pale usngesema hinyo
 
Hata mm nimewashangaa..Juzi baada ya biti la mkulu walirusha habari yake 8mnts. Vyombo vya habari fanyeni kazi yenu acheni woga
 
mimi pia nilikuwa napenda kutizama ITV kwa habari zilizokuwa balanced.
ila kwa hali ilivyo sasa napendekeza ikifika saa 2 usiku wangeunganisha tu na taarifa ya habari ya TBC 1 tuwe tunaona tu sifa za mtukufu.
halafu itolewe amri kila kituo cha TV kiwe na kipindi cha SHILAWADU kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…