Itungwe sheria ya kusapoti polisi kwa lazima

Itungwe sheria ya kusapoti polisi kwa lazima

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Watu baadhi wanashangilia polisi wakiuawa on duty, sasa iwekwe sheria ya kulazimisha watu kuwasifu wanapofanya kazi nzuri kwa mfano jana huko Kigoma walipozuia yale majangili yaliyotaka kupora ardhi ya mwekezaji mwema
hivi TCRA mlikuwepo wapi wakati polisi Singida walipotoa idea ya kum ban Tundu Lissu on social media, mlishindwa kusapoti polisi? Ndo maana ishu ya zamaradi na shoga imewashinda.

Polisi wa Tanzania ni the best in Afrika especial pale wanapopataga intelejensia ya vurugu za maandamano, they have ear on the street, salute kwao
nashangaa eti kuna watu wamelalamika kuuawa kwa mhalifu huko mbeya no wonder mtukufu mkuu alishangaa inakuwaje raia hawaogopi polisi, inabidi waogopewe hamna kuchekeanachekeana.
 
Alafu ni kuingiliana kwa uhuru wa mtu,,kufurahi ,kununa ,kucheka ivyo vitu co vya kulazmishana jaman khhhaaaaaaa aseee mmezdi,,
 
Kwann iwe lazma...unataka kusema kwamba Polisi wao hawezifanya vitu ndivyo sivyo..
 
Kuwe na tuzo ya polisi shangilia, hi ni kwa washangiliaji tulio hodar kwa polisi wetu!!
 
Tukianza kushangilia polisi tusisahau na kumpa Tuzo yule aliyemuua mwandishi Mwangosi.
 
Tupendane.....tushirikiane....tusaidiane.Kifo kipo na kimeumbwa na Mungu.Wote tunaogopa kifo lakini ni lazima tufe.Tusikiapo kifo cha mmoja wetu tumshukuru Mungu kwa rehema zake.Huko ndani ya kaburi usiambiwe..iko kazi sawasawa..
 
Watu baadhi wanashangilia polisi wakiuawa on duty, sasa iwekwe sheria ya kulazimisha watu kuwasifu wanapofanya kazi nzuri kwa mfano jana huko Kigoma walipozuia yale majangili yaliyotaka kupora ardhi ya mwekezaji mwema
hivi TCRA mlikuwepo wapi wakati polisi Singida walipotoa idea ya kum ban Tundu Lissu on social media, mlishindwa kusapoti polisi? Ndo maana ishu ya zamaradi na shoga imewashinda.

Polisi wa Tanzania ni the best in Afrika especial pale wanapopataga intelejensia ya vurugu za maandamano, they have ear on the street, salute kwao
nashangaa eti kuna watu wamelalamika kuuawa kwa mhalifu huko mbeya no wonder mtukufu mkuu alishangaa inakuwaje raia hawaogopi polisi, inabidi waogopewe hamna kuchekeanachekeana.
Nimekupata mkuu.
Hapa sifa tu!
Vinginevyo ni uchochezi!
 
Kwann iwe lazma...unataka kusema kwamba Polisi wao hawezifanya vitu ndivyo sivyo..
Polisi yetu haiwezi kufanya vitu ndivyo sivyo. Wana weledi, ni wazalendo na wana intelijensia makini kuliko majeshi yote ya polisi duniani. Mara zote wanafanya kile kilicho sahihi kabisa. Tusiwaangushe.
 
ukiona mtu.anafurahia unapopata matatizo ujue kuna sababu la msingi usimkataze yeye kufurahi ila tafuta sababu kwa nini kafurahi hata vitani adui akiuawa upande mwingine hufurahia ki ubinadamu sio jambo nzuri kufurahia baya la mwenzio kama nchi turudi tukae pamoja tuona tatizo nini wapi tulipoanza kupotea tujisahihishe
 
Nimekumbuka ule wimbo "Idd Amin akifa mimi siwezi kuliaa, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba".
 
Back
Top Bottom