:A S embarassed:
:A S embarassed::A S embarassed:
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Hivi Doto unatumia ipasavyo zili Proscription medicine???:A S-coffee:
Majina yao kwa JF kama kongosho hahahaaaa ni mfano tu sijamtaja
ha ha ha,
hizi zote nikizichanganya, hata alipokuwa kasimama hapataonekana
ha ha ha ha
umenichekesha usingizini
Kwa nini unadhani hatumii?
Hahahahahaha maumivu yake sio ya kitoto. Kutakua na machozi debe bila damu.Hicho hicho ndo nakitaka
namtoboa afu hafi
Sawa sawa uko sahihi kabisaSio kosa la jinai kutaka kunifahamu. 🙂 🙂 🙂
Majina yao kwa JF kama kongosho hahahaaaa ni mfano tu sijamtaja
YES. That's why I feel all lovey dovey n stuff. Sitomeza tena.
Sababu ya jinsi anavyojibu watu na thread anazo anzisha...
Sababu ya jinsi anavyojibu watu na thread anazo anzisha...
Hujagundua kitu
nakunong'oneza, hii ni siri kubwa sana kwa sasa hapa duniani
'Love in the air..' ndo hivyo!
Hahahahaaa hapana,siwezi fanya hivyo,hapa ni urafiki tu dating kwa hii mitandao ni kudanganyana tu.Unadata n majina aisee? Angalia usije ukapanga kidate na njemba.
Umbea huu...mtaja sutwa mpaka mchaniwe khanga.
Dear Lord when is Armagedon coming??
Enhe majibu yakoje?Thread zikoje?
ukinisuta unanionea, ukiniacha unaniogopa.
Lakini si nimemnongzloneza AD, we umesikia wapi?
Ulitakiwa usipasome hapo.
Hahahahaaa hapana,siwezi fanya hivyo,hapa ni urafiki tu dating kwa hii mitandao ni kudanganyana tu.
Hapa wengi ni great thinkers wa ukweli mambo ya dating not recommended.
Nna masikio kama ya popo. . .ukinisuta unanionea, ukiniacha unaniogopa.
Lakini si nimemnongzloneza AD, we umesikia wapi?
Ulitakiwa usipasome hapo.