It's Not What You Earn, Its What You Save That Matters

Kipindi naenda chuo wazee walinikalisha na kuniambia ubahili ndio akiba ya kesho.Na kweli pesa bila nidhamu utaishia kushuhudia umepitisha mamilioni mikononi mwako alafu mwisho huna kitu.
Kiyosaki anasema save first kinachobaki ndio utumie ila ukianza tumia ndio u save unakuta kwishaaa!
 
Mithali 6:6-8
6 Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima.

7 Kwa maana yeye hana akida, Wala msimamizi, wala mkuu,

8 Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.

Pia Mithali 30:25
Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa hari.


NB:Kumbuka chungu ni mdudu aina ya siafu au sisimizi lakini wana akili ya kuweka akiba kama watu kiasi kwamba katika (Mithali 30:25)Bblia imewaita watu...so kwanini kama unataka uhuru wa kifedha utumie kila kitu unachopata bila akiba!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom