Its NOT photoshop!

Sioni cha kushangaza, hizo bagamoyo zinafanyika kila siku labda uende ukaongeze ujuzi.
 
Who said its a photoshop?
 
Iko hivi,yule dada anaonekana yuko mbali,jamaa alichokifanya ni kusimamisha mguu wake usawa na aliposimama yule dada,lazima picha ioneshe kama yule dada kama yuko juu ya mguu wa jamaa!
 
Its not photoshop..ni kama zile picha watu wanazopiga kule kwenye pyramids in egypt..yule moja amekaa mbali so it creates an illusion kama vile yupo juu ya kiatu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kweli hujkitambui,nionyeshe kivuli cha huyo msichana kiko wapi ndo nitaamini
 
Its not photoshop, can one explain?

panorama/perspective

Iko hivi,yule dada anaonekana yuko mbali,jamaa alichokifanya ni kusimamisha mguu wake usawa na aliposimama yule dada,lazima picha ioneshe kama yule dada kama yuko juu ya mguu wa jamaa!

Its not photoshop..ni kama zile picha watu wanazopiga kule kwenye pyramids in egypt..yule moja amekaa mbali so it creates an illusion kama vile yupo juu ya kiatu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Here we have the best answers so far, its perspective and illusions.
Also please note the shadows for a hint, the lady's shadow is small and vividly very far, showing that she is further away from the gentleman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…