It's my birthday

It's my birthday

heeeeeeeee mkuuu nilikuwa wapi sijaona kitu hichi jamani nimepitwaje
mie mama shughuli na madikodiko mwenyekiti umeshindwa kuniambia kwa phone?

ok awali ya yote hongera sana ingawaje inimechelewa kukupongeza nisorie

Mungu akuzidishie wingi wa siku na uitwe heri
Karibuni kusherehekea na mwenyekiti wenu siku niliyoliona jua.
 
heeeeeeeee mkuuu nilikuwa wapi sijaona kitu hichi jamani nimepitwaje
mie mama shughuli na madikodiko mwenyekiti umeshindwa kuniambia kwa phone?

ok awali ya yote hongera sana ingawaje inimechelewa kukupongeza nisorie

Mungu akuzidishie wingi wa siku na uitwe heri

Ahsante sana best wa mimi, pole ya mwaka huu ntakutumia kadi kabisaaaaaa. Tuko pamoja.
 
Mimi mwenyewe nimeliona leo ! Happy birthdate Baba V Mungu akulinde
heeeeeeeee mkuuu nilikuwa wapi sijaona kitu hichi jamani nimepitwaje
mie mama shughuli na madikodiko mwenyekiti umeshindwa kuniambia kwa phone?

ok awali ya yote hongera sana ingawaje inimechelewa kukupongeza nisorie

Mungu akuzidishie wingi wa siku na uitwe heri
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday kwako mwana jamvi mungu akujarie maisha marefu na yenye baraka tele na kuendelea kulisongesha gurudumu hili la maendeleo pamoja sanaaaaa ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom