It's My Birthday Today..

It's My Birthday Today..

forget about your birthday... enjoy my signature!!!

hahaaa!! nimetania mkuu!!

happy birthday, live long Katavi.. take time to fulfill your current plans.
 
Last edited by a moderator:
forget about your birthday... enjoy my signature!!!

hahaaa!! nimetania mkuu!!

happy birthday, live long Katavi.. take time to fulfill your current plans.

Hahahaaah!! Pamoja na ku-injoi birthday yangu, pia hiyo signature yako imenifanya nitabasamu.
 
Nialike kwanza kula keki,nkishiba ndo ntaku wish happybirthday

karibu sana keki...... 'Valentina'
1898239_651788401547177_1185955362_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
we bana tunasherekea kabisa, halafu unatuambia una 25 yrs wakatitunaona unaelekea 40??

hahahahaaaaaaa!!!! Kataviiiiiiiiiiiiiiii!!! HBD bro!!!

enjoy my avatar...

ha ha ha aahahaaah...!! Mbona hiyo 25 nyingi sana kaka hata sijafika huko.
 
ha ha ha aahahaaah...!! Mbona hiyo 25 nyingi sana kaka hata sijafika huko.

hahahaaa!!! we naona wine zimekuzidi!!! hivi umeandika 25 au ulimaanisha 52? hahahaaaaa!!!

enjoy my avatar... drink more meeeen! its your BD!
 
hahahaaa!!! we naona wine zimekuzidi!!! hivi umeandika 25 au ulimaanisha 52? hahahaaaaa!!!

enjoy my avatar... drink more meeeen! its your BD!

Weitaaa ongeza wine kwa Excel tafadhali....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom