Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,197
Hongera na siku yako ya kuzaliwa Mungu akupe afya na amani tele ubarikiwe.
Wee mkare tukutane paree paree kwakuwa wewe ni odinaree ila usichukue mpango wa kando si usaree kwa kuwa watapiga kelele ili tuwadareee.
Happy Birthday on this special day may God give you the gift you deserve and live you life to the fullest.
Wapendwa wana JF,
Leo tarehe 13 May ni siku yangu ya kuzaliwa. Ninatimiza miaka kadhaa... Namshukuru M/Mungu kwa kunipa afya njema na pumzi.
Happy b'day Mkare. Mungu akupe maisha mareeu.Wapendwa wana JF,
Leo tarehe 13 May ni siku yangu ya kuzaliwa. Ninatimiza miaka kadhaa... Namshukuru M/Mungu kwa kunipa afya njema na pumzi.