It's my birthday 1st June

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Namshukuru manani kwa siku hii kuu! Nikiwa mwenye nguvu afya na furaha, ni wengi wangetamani kuifika siku hii lakini kwa mapenzi ya Mungu halikuwezekana
Naungana na wana JF wengine wote wenye birthday kama yangu kwa siku hii
 
happy birthday kaka yangu Allah akupe miaka mingi zaidi yenye mafanikio tele ndani yake
 
Wooow! Kumbe wewe na ICHANA ni mapacha aise

May u have al da joy ur heart can hold. all the smiles a day can bring. all the blesings a life in everything. happy birth day to you broda
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usiulize nilikuwa wapi siku zote hizo kwanza Happy birhday nakuombea maisha marefu yenye furaha, mafanikio na afya tele pili nimekuhaaamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…