kwangu sio Important nakula tu iliniishi alafu hizi formula mbona wazee wetu hawakuwa nazo na waliishi muda mrefu tu sijui tatizo linatokea wapi kizazi chetu hiki?
Hv fenesi linasaidia nn kwenye mwili?Pia wakati wa msimu wa machungwa, jioni mnakaa babu anawamenyea machungwa, mahindi ya kuchoma hivyo hivyo. Usisahau mafenesi, maembe na madafu
Kesho mungu akijalia uzima hii kitu nitapita nayo mpaka tumboni moja kwa moja.
Sure alafu vingi hivyo hivyo hatuvijui wengine faida zake.Tuna vitu vingi ambavyo wengine wanavitamani
ndio msimu wake saiz mpaka kufika xmas yatakuwa 500Tsh bei yake.Aisee tangu nimejijengea tabia ya kula nanasi kila siku nimesahau dawa ya kifua. Nanasi lina vitamin C zaidi ya machungwa