Its good sometimes Kupitia Nyakati Ngumu

Its good sometimes Kupitia Nyakati Ngumu

Huu ni ukweli, japo nimeshangaa Sana baadhi ya wabunge kusema wametoka hotel nzuri wako kwenye nyumba za kulala wageni sasa wanadai ni shida. Nikajiuliza, mbona hawa tumekua nao wengine hata viatu shuleni hawana, kwao nyumba zao ni mbavu za mbwa, Chakula hawana !

Ila, ukweli umeusema.

Japo, siku hizi wanasema matatizo yako laumu ukoo wako na wazazi wako.
 
Nilishalala njaa,siku tatu.
Nilishawahi tembea kwa miguu kutoka tazara mpaka mansese
Mansese mpaka kimara suka
Mansese mpaka kinondoni
Kwembe mpaka kumara suka kwa miguu.
Hapo sina hata sh 5 mfukoni.
Jua Kali pamoja. Na njaa.
Pole sana mkuu umenikumbusha mbali mpaka natamani kulia!mmhh
 
Kweli kabisa Mkuu. Uzi umetulia huu. Mie nashukuru Mungu kwa kujaliwa Baba na Mama wenye mapenzi ya kweli na walionilea kwa mapenzi ya kweli hadi nilipoanza kujitambua. Hawa ni role models wangu na hawakukosea waliosema "Wazazi ni Mungu wa dunia" Wengine wengi hawakupata bahati ya kuwa na wazazi wote au hata kupata mapenzi kutoka kwa Wazazi.

Kulelewa na wazazi wote wawili halafu bila kushuhudia mitafaruku ni jambo la kushukuru hilo mkuu.

Tupo pamoja mkuu BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aliyenileta alinidanganya kuwa ananipeleka Duniani kumbe kanileta kwenye Jehanam ya Duniani... Kwa maisha tunayoishi walimwengu wengi hasa sie wa nchi masikini, hakukuwa na faida yeyote kuzaliwa... Ni bora tungebaki kule kule tulipokuwepo...
Ni wewe tu!
 
Nilishalala njaa,siku tatu.
Nilishawahi tembea kwa miguu kutoka tazara mpaka mansese
Mansese mpaka kimara suka
Mansese mpaka kinondoni
Kwembe mpaka kumara suka kwa miguu.
Hapo sina hata sh 5 mfukoni.
Jua Kali pamoja. Na njaa.

Pole sana mkuu, Magumu tuliopitia ndio Mitihani yenyewe.

Naamini sasahivi unalia kivulini.
 
Back
Top Bottom