haya Boss wewe jidunge tu !! mimi nipo Meeda
Kwa hesabu ya alaka hapo una kama laki saba mtumie mama laki tatu wife mpe laki mbili, moja niwekee mpesa itakayo baki agiza bombadia upepee.
We uko wap kwanAghrrrrrr......!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha mkuu nawe unatumia oraimo products[emoji38]
Noma sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha! shomile alienda Ntwara kununua korosho kakuta Jiwe kaweka mabuti na Ak47 huko kakimbia kaona ajipooze kwanza maana na huko kakabwa koo hakuna kupeleka kahawa Uganda.no wonder.... kumbe shomile
We Shomile ulipitishaje kahawa ukapeleka Uganda na kupata mkwanja wote huo? ngoja akuone waziri mkubwa aje kukuhakiki akukabidhi kwa mkuu wa mkoa kisha nae akupasi kwa kamanda wa polisi wa mkoa akufanyie mahojiano vzr.
Naomba hizo ulizoshika
Mkuu kwenye avatar ni wewe??nimeona nyagi na sprite hahaa nikakumbukaa mbaaali..
hapanaMkuu kwenye avatar ni wewe??
Okay sawa..hapana
Lengo la hizo pesa kwenye picha yako ni lipi??..kwamba unazitumia zote leo friday au??
Sky ana matawi kila konaKaribu sky hotel mkuu, bukoba