donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Lengo la hizo pesa kwenye picha yako ni lipi??..kwamba unazitumia zote leo friday au??
baadae utaanza kulalamika mambo magumu
If that the case then enjoy na hilo bata mkuuDhima kuu ya huu mpunga ni kuuteketeza leo mkuu, work hard play hard
Real brother ilitafutwe ili itumike!Dhima kuu ya huu mpunga ni kuuteketeza leo mkuu, work hard play hard
Kwa hesabu ya alaka hapo una kama laki saba mtumie mama laki tatu wife mpe laki mbili, moja niwekee mpesa itakayo baki agiza bombadia upepee.
Nikufuate wp mkuu?
Shulran mkuuIf that the case then enjoy na hilo bata mkuu
Yes bro, u Neva know your tomorrowReal brother ilitafutwe ili itumike!
Kweli mkuu, hii ni buku ishirini tuNyie hamjaona vizuri...hapo kuna nyekundu 3 juu hapo chini ni majanga matupu ndiyo maana kazificha...hapo hazizidi elfu 50 wakuu
Hahaha, poa mkuuKwa hesabu ya alaka hapo una kama laki saba mtumie mama laki tatu wife mpe laki mbili, moja niwekee mpesa itakayo baki agiza bombadia upepee.
Karibu sky hotel mkuu, bukobaNikufuate wp mkuu?
Basi kitambo ulikua offlineHaya mambo yameanza kufika huku? Nilizoea kuyaona kule kwa wajinga fesibuku....
Karibu sky hotel mkuu, bukoba
Vp mkuuAghrrrrrr......!!!!
Alijua upo town asogee...Vp mkuu