Its a friday nite,
everythg is alright,
ee nyie ma besty,
twende tuka dance,
if u like 2 dance,
then this is ur chance,
sisi wa tz tuna penda hapi.............,
Hali ya Umeme ilikuwa mbaya nilinasa kwenye Elevator,
Na Hali ya Kwenye elevator zetu sikuhizi hakuna network ukiwa ndani then Wameweka namba za Emegency tupige ndio kama vile no network no out call nipe pole Wangu. Umepika chakula gani dia nina njaa...