It's all about social media

Hahaha kuna watu wanaweva kufa kutaka kuwa wa kwanza ku report
 
Nikweli maana wakati wa majanga mtu badala ya kutafuta usalama anapiga picha ili arushe mtandaoni
 
Juzi kuna lori lilifeli brek system toka kwenye ule mlima wa national_kama unaenda Igoma mwanza....
Basi lori likawa linashuka na kupiga honi na taa wamewasha badala watu wakimbie hatari hiyo watu ndio kwanza wanajaa barabarani na kupiga picha
Lori liligonga magari manne na lilisimama maeneo ya maziwa tena break ilikiwa coster ya buswelu
 

Mambo ya Wasapuuz haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…