SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,251
Hiyo ndio CCM, hivi ndugu yetu mpendwa wa CHADEMA Erythrocyte anasemaje kuhusu hili, na Tindo Lussu je?Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.
No hate No fear!
Hiyo ndio CCM, hivi ndugu yetu mpendwa wa CHADEMA Erythrocyte anasemaje kuhusu hili, na Tindo Lussu je?
piiipoz!
CHADEMA hoi
Ccm sio chama Cha siasa, Bali ni kikundi Cha Dola kilichojivika koti la chama Cha siasa. Na uwepo wake madarakani ni kwa sababu ya katiba mbovu na ukondoo wa wananchi. Siku ukondoo ukiwatoka wananchi ccm itaingia kaburi Moja na KANU ya Kenya.Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.
Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.
Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.
Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.
Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Watu wajinga tu au wanaofadika na hizi chaguzi za kihayawani ndio watakuwa na muda wa kujitokeza kupiga kura.Nchi ipo kwenye maandalizi Muhimu sana matatu kwa sasa,
1.maboresho daftari la kudumu la wapiga kura,
2.uchaguzi wa serikali za mtaa 2024
3.uchaguzi mkuu 2025...
Mambo yote haya yanahitaji muda wa kutosha, fedha za kutosha na umakini mkubwa.....
Subira hadi lini? Watu washindwe kuwahi kazini wasubiri ahadi hewa za miaka nenda rudi?Gentleman,
Kazi inaendelea, maagizo ya Mkuu wa mkoa yanatekelezwa kwa bidii sana usiku na mchana na mh.Rais Dr.SSH haachi kumuuliza Mkuu wa mkoa na waziri mwenye dhamana kila siku kuhusu status jambo hilo.
Na kwa muda usiokua mrefu mabasi yale yataingia barabarani kutoa huduma.
Pamoja na hayo, yapo mabasi mengine mapya ya kutosha yanakuja kutokana na kupanuka kwa mradi huu katika maeneo mbalimbali jijini dar es salaam na majiji mengine nchini.
Muhimu zaidi ni kuona uwezekano wa kuhusisha wabia wengine wa usafirishaji kutoa huduma ili kuboresha na kurahisisha huduma hizo na kuondoa kero wanazokumbana nazo watumiaji wa mabasi hayo..
Nitoe pole kwa usumbufu wanaoupata abiria wote wanaotumua huduma za mradi huu na nitoe wito wa subra na ustahimilivu wakati serikali inashughulikia jambo hilo..
umekula Kweli mchana 😂Ccm sio chama Cha siasa, Bali ni kikundi Cha Dola kilichojivika koti la chama Cha siasa. Na uwepo wake madarakani ni kwa sababu ya katiba mbovu na ukondoo wa wananchi. Siku ukondoo ukiwatoka wananchi ccm itaingia kaburi Moja na KANU ya Kenya.
subiira yavuta kheri,Subira hadi lini?
Miaka 62 sasa uchaguzi ukifika mnawapelekea fulana, kofia na vitenge.
Kazi gani inaendelea? Au ruhusa ya kula kwa urefu wa kamba?
Ripoti ya CAG majizi yametia nchi hasara yanahamishwa ofisi wanaofungwa ni watu wenye kesi za nyama za swala .
Kula kwa urefu wa kamba ndio kazi iliyopo , mbadilishe sasa mseme na kula kwa kamba kuendelee ndio kazi yenyewe.
View attachment 2814697
😂😂😂😂😂...hatred ya CHADEMA mtandaoni imepita hatred.No hate No fear
Huwa hatuhangaiki na nyuzi za kijinga!
Hiyo ndio CCM, hivi ndugu yetu mpendwa wa CHADEMA Erythrocyte anasemaje kuhusu hili, na Tindo Lussu je?
piiipoz!
CHADEMA hoi
Hakuna chochote mtakachowafanyia wezi hao maana wizi unaanzia juu huko kwa huyo mama.subiira yavuta kheri,
Waliobainika kufuja fedha na Mali za umma kupitia report ya CAG wanashughulikiwa kisekta kama ambavyo sote tumeshuhudia tayari maafisa kadhaa wamesimamishwa kazi, wengine kutiwa nguvuni kupisha uchunguzi....
Hata hivyo huo ni mwanzo tu kazi kubwa bado inaendelea na kwa wakati muafaka umma utajulishwa....
Bado subra na ustahimilivu ni jambo muhimu sana kwenye mambo haya yasiyo hitaji pupa wala papara, bali umakini na umahiri wa bila kumuonea wala kumuumiza asie husika ...
mnajitekenya na kucheka wenyewe😂😂😂😂😂...hatred ya CHADEMA mtandaoni imepita hatred.
They do not practise what they preach. Ati No hate no fear! Loh
Kwanza kutwa JF wanaleta matamshi ya kuendekeza hofu, Makonda this Makonda that, wanatafuta kila aina ya njia kudai uchaguzi una kasoro kiasi cha kuitwa maigizo! Hopeless kabisa Hizo ni fear tactics lol
Pili, ndio vinara wa chuki, kiasi wakisikia Neno Chatu, sio Chato, wanakurupuka kusema 'Wasukuma hao' toka lini nyoka aina ya Chatu akawa msukuma! kam sio chuki na watu wa Chato ni nini?
These Piipoz! 😌
Narudia tena, wananchi wa nchi hii ni makondoona hakuna tusi lolote hapo. Tukishindwa kwenye uchaguzi, kwani Kuna uchaguzi au upuuzi katika box la kura?umekula Kweli mchana 😂
Yes CCM ni Chama dola alaaa,
sasa wew ulidhani ni nini 😅
lakini pia sio ungwana kuwabeza wananchi na kuwaita makondoo ambao baadae na kachama kenu ka fujo na maandamano haramu mnaenda kuwaomba kura tena, really?
Hivi nyinyi mmefundishwa kutukana tu wapinzani wenu na wananchi hamkufundishwa siasa ?
Ukishindwa uchaguzi unakwenda back kwenye drawing table kujipanga na uchaguzi mwingine.....
Kubeza wananchi ni kujiandaa kushindwa vibaya uchaguzi zinazokuja....
Suala la katika mpya ni dhahiri litafanyiwa kazi baada ya uchaguzi mkuu 2025. Maana yake litaanza kufanyiwa kazi mapema 2026.....
...wakitema shauri yao!umekula Kweli mchana 😂
Yes CCM ni Chama dola alaaa,
sasa wew ulidhani ni nini 😅
lakini pia sio ungwana kuwabeza wananchi na kuwaita makondoo ambao baadae na kachama kenu ka fujo na maandamano haramu mnaenda kuwaomba kura tena, really?
Hivi nyinyi mmefundishwa kutukana tu wapinzani wenu na wananchi hamkufundishwa siasa ?
Ukishindwa uchaguzi unakwenda back kwenye drawing table kujipanga na uchaguzi mwingine.....
Kubeza wananchi ni kujiandaa kushindwa vibaya uchaguzi zinazokuja....
Suala la katika mpya ni dhahiri litafanyiwa kazi baada ya uchaguzi mkuu 2025. Maana yake litaanza kufanyiwa kazi mapema 2026.....
Shalom Mama mchungaji, umenikosha 😂Sawa majeshi yote yenu, watu wakidai katiba mpya mnawaletea wanajeshi wafanye usafi maana waandamanaji ni takataka.
NEC ipo chini yenu kwenye uchaguzi mnapita bila kupingwa, kifupi mmetuona nyani 😂
NB; Weka namba km kaka Luka na Pasko nipo Mokane nakusubiri
Jaribu mwenyewe uone.mnajitekenya na kucheka wenyewe
Basi sawa mkuu mkishika dola bila kushiriki uchaguzi mtarekebisha kupitia hiyo serikali mtakayoiunda,Narudia tena, wananchi wa nchi hii ni makondoona hakuna tusi lolote hapo. Tukishindwa kwenye uchaguzi, kwani Kuna uchaguzi au upuuzi katika box la kura?
Hamna katiba ya kweli inapatikana kwa kusimamiwa na chama kinachofaidika na katiba mbovu. Watu wajinga tu ndio wataendelea kushiriki chaguzi hizi Cha kishenzi.
Hakuna chochote mtakachowafanyia wezi hao maana wizi unaanzia juu huko kwa huyo mama.