Itoshe kusema Ali Kiba ana msogo wa mawazo

Broadcast

Member
Jun 19, 2022
60
195
Kulikua kuna haja gani ya yeye kuwajibu mameneja Wa WCB? Kwamba kosa ni yeye kuwekwa No. za mbali katika zile Top ten za wale Mameneja?

Ile ni mitazamo binafsi ya watu, kulikua na haja gani kuanza kubisha kwa maneno ya hovyo yaliyokosa stahaa kama sio stress zinamsumbua King wetu huyu?
Hebu tujadilini

Alikiba awachana mameneja wawili wa Wasafi kwa kutoa orodha yao ya wasanii 10 bora kwa mwaka 2022, huku akijitapa kuwa King.

Alikiba ameandika, "I think mmeshajulikana kama nilazima mchokenol*we, Ndio mfunction, ili jambo lenu liende. Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachok*noe maana mtakua mmekamilisha malengo yenu kwa bahati mbaya Njomba Hajawagundua ila mimi nawajua vizuri for your , Sisumbuki tena."

"Najua hata hiki nilicho kiongea hapa kitawasaidia kwasababu mimi ni KING wenu tena, maana msije mkasema waporini wakati ni wewe ndio waporini. Tena mmekaa kikao kujadili na kurank wasanii, WHO ARE YOU? Nitaongea jambo lenu likiisha, Haya sasa nadhani nimewachokun*a vyakutosha tena kwa malengo mnayoyataka, have nice show."
 
Kulikua Kuna Haja gani ya yy kuwajibu mameneja Wa WCB?

Kwamba Kosa ni Yeye kuwekwa No.za mbali katika zile Top ten za wale Mameneja

Ile ni mitazamo binafsi ya watu kulikua na haja gani kuanza kubisha kwa Maneno Ya Hovyo Yaliyokosa stahaa Kama sio stress zinamsumbua King wetu huyu???
Hebu tujadilini
Kiba nae miyeyusho.Simlaumu SK mana ile ni personal opinion yake. Wala sio opinion ya kitaasisi.

Kiba kwenye hili kazingua
 
Kiba- yupo sawa, kwanza wale mameneja wa WCB hawakubainisha vigezo walivyotumia katika huo mchakato wa kuanisha ubora wa wasanii.

Walifanya tu hivyo kwa lengo la kuwafurahisha wasanii wao.
 
Mimi nimemshangaa kwakweli tukisema hana exposure msanii wenu mnakuja kututukana humu mbona haya mambo yapo sana duniani huko hata mbele wasanii wanarank wasanii wanaowapenda wao wakiulizwa hili swali,ningekuwa mimi nisingewajibu hao kina Talle badala yake ningeweka list yangu na mm halafu ningejiweka namba moja mbona simple tu jamani
 
Ngoja nimuongezee list yangu Mimi team kiba lialia
1. Harmonize
2. Marioo
3. Zuchu
4. Jay melody
5. Alikiba
6. Platnumz
7. Vanny boy
8. Phina
9. Nandy
10. ???
 
Kulikua kuna haja gani ya yeye kuwajibu mameneja Wa WCB? Kwamba kosa ni yeye kuwekwa No. za mbali katika zile Top ten za wale Mameneja?

Ile ni mitazamo binafsi ya watu, kulikua na haja gani kuanza kubisha kwa maneno ya hovyo yaliyokosa stahaa kama sio stress zinamsumbua King wetu huyu?
Hebu tujadilini

Alikiba awachana mameneja wawili wa Wasafi kwa kutoa orodha yao ya wasanii 10 bora kwa mwaka 2022, huku akijitapa kuwa King.

Alikiba ameandika, "I think mmeshajulikana kama nilazima mchokenol*we, Ndio mfunction, ili jambo lenu liende. Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachok*noe maana mtakua mmekamilisha malengo yenu kwa bahati mbaya Njomba Hajawagundua ila mimi nawajua vizuri for your , Sisumbuki tena."

"Najua hata hiki nilicho kiongea hapa kitawasaidia kwasababu mimi ni KING wenu tena, maana msije mkasema waporini wakati ni wewe ndio waporini. Tena mmekaa kikao kujadili na kurank wasanii, WHO ARE YOU? Nitaongea jambo lenu likiisha, Haya sasa nadhani nimewachokun*a vyakutosha tena kwa malengo mnayoyataka, have nice show."

Umekosea hapo kwenye king wetiu, kinga wako na nani ndugu?
 
Ali ana haki ya kujibu,lakini kajibu kijinga sana. Imagine uko kwenye competition na watu,alafu anakuja mtu kutoka kwenye kambi hasimu anatoa rank zake na hiyo na wewe umetupwa mbali,ni dharau. Alichotakiwa kufanya Ali na yeye angetafuta watu wake wenye ushawishi katika muziki wakatoa rank zao na yeye akiwa top.
 
Back
Top Bottom