Hii makitu mi nimeanza kuiona UG , just more than 10 yrs a go. Swali langu inapendezaje vitu wenzetu tena sio wa mbali washavifanya miaka lukuki, sie ndo tunavianza? Wakati wenzetu wanafikiria vyanzo vipya zaidi vya Kodi.
Au tuliumbwa waTz kuwa wakuchelewaga!
Mimi sijui .
nimekumiss ile ni aje wewe mdada!!!!!!!!!!!!!!Ha ha ha ha CDM 2015 SENGEREMA, Nimeipenda sana hii nitakuja kukupigia kura
nimekumiss ile ni aje wewe mdada!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu hata hapa kwetu nadhani ipo, kuna siku nishawahi kuona gari yenye maandishi "MUGANYIZI 1"
JF ilinipaga ushauri mbofumbofu nikaona niikimbiePotea sana wewe msichana kha!!! Nakumiss mpaka naumwa jino
TZA 881 Ritz wa JF.
unataman uwe mtu mkee???Joketi .