Neno itifaki asili yake ni kukubaliana (makubaliano ya pande mbili au zaidi).jaman mwenye kujua maana ya n maneno hayo anifahamishe maana mara nyingi nimekuwa nikiyasikia mahala fula fulan hasa kwenye mkusanyko wa watu weng kama mkutano n.k sa huwa sielew anakuwa amemaanisha nin mtu akiongea hvyo
Neno itifaki asili yake ni kukubaliana (makubaliano ya pande mbili au zaidi).
Hivyo usemaji wa mtu kuwa "itifaki imezingatiwa" ina maana makubaliano yamezingatiwa, au kilichofanyika au kusemwa kimo ndani ya makubaliano n.k.
Umerudi kule kule kwenye asili ya neno itifaki!
Itifaki= utaratibu wa jinsi ya kuendesha shughuli fulani kutokana na utaratibu uliowekwa.
mathalani katika shughuli za mikutano ni kiongozi gani anatakiwa kuingia kwanza kisha nani afuatie na nani awe wa mwisho kuingia katika sehemu ya mkutano,