Itifaki imekaaje hapa

Na hili Neno pia. Na ndio maana wengi wao ni walevi chakali chakali.
 
Kuna kitu kinaitwa 3W.
Ungekuwa angalau umecheza mgambo ungeelewa namaanisha nini.
Women
Wine
War. Kama co kamanda huwez elewa. Hao watu waachen tu maana kazi yao co mchezo. Xo wakila bata nyie tufanyen kama hatuon maana hata wanavyovifanya vingine hatuvioni huko maporin.wakat huo cc tuko Kwenye makochi yetu tunaperuzi jf
 
Ahahahahaa.
Kazi zote za kijeshi ni ngumu hasa ukiwa na roho ya kiutawala(isiyopenda amri).
Yaani kila aliye juu yako anatoa maagizo yake, Mpaka CDF anapokea amri kutoka kwa Rais.
Women
Wine
War. Kama co kamanda huwez elewa. Hao watu waachen tu maana kazi yao co mchezo. Xo wakila bata nyie tufanyen kama hatuon maana hata wanavyovifanya vingine hatuvioni huko maporin.wakat huo cc tuko Kwenye makochi yetu tunaperuzi jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…