itel Mobile Yazindua simu mpya S31 –Smartphone Yenye Uwezo wa Kupiga Picha Hata Gizani

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
May 4, 2016
234
326
Kwa kuzingatia mahitaji, matakwa ya wateja na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, kampuni ya simu za mkononi Itel, ambayo hivi karibuni ilishika nafasi ya kwanza kwa kuuza bidhaa zake nyingi barani Afrika, imezindua simu mpya inayokwenda kwa jina la itel S31. Hili ni toleo jipya kabisa katika mfululizo wa simu za selfie yaani Selfie series ikitanguliwa na itel S11. Simu hii S31 ina uwezo wa teknolojia ya kupiga picha angavu kwenye sehemu yenye giza huku ikiwa na camera ya mbele yenye 5MP na LED flash.
itel.png

Mwonekano wa itel S31

Camera ya S31 ina upana wa lensi yenye F/2.2, upana huu unasaidia kuruhusu kiwango cha mwanga wa kutosha kupenya kwenye lensi na kufanya selfie picha yako kuwa ni angavu hata ukiwa kwenye sehemu yenye mwanga hafifu au giza. Pia LED flash inaweza kuwashwa na kuruhusu mwanga kupenya kwenye lensi mfululizo wakati wa kujiselfisha.

itel2.jpg

Selfie Kwenye Mwanga hafifu na LED flash ikiwa imewashwa

Lakini kinachofurahisha zaidi ni lensi ya Camera ya mbele kuwa na upana kiasi cha kuweza kuchukua eneo kubwa mpaka Nyuzi (84°). Hii inasaidia kundi la watu kotosha kwenye frem moja tu ya S31, uwe kwenye mkutano, kazini au matembezini ukiwa na rafiki au ndugu zako chukua S31 yako ili nyuso za wote uwapendao zionekane pamoja nawe ndani ya frem ya S31 kila unaposelfika.

Vikolombwezo vitano (5) Kupendezesha uso au picha yako
Simu hii ya itel S31 ina uwezo wa kupiga picha na ikakupa nafasi ya kuweza kuhariri (edit) picha yako kwa namna zipatazo 5, ili iwe na mvuto zaidi kama utapenda (Picha za matangazo ya biashara mtandaoni S31 ndio jibu lako).
itel3.jpg

Memory Yake ni ROM 16GB
Kilichoboreshwa zaidi ni uwezo wake wa kuhifadhi vitu vingi. Ukiwa na itel S31 huhitaji kufuta picha zako za muhimu wala kuweka Memory Card, kwani GB 16 ni nafasi kubwa na ya kutosha.

Ukubwa wa Screen yake ni 5.5” HD IPS.
Simu hii imeboreshwa sana kutokana na screen yake isiyo ya kawaida, hii ni HD screen ambayo ni IPS. Kutazama video na picha kwenye screen hii inafurahisha sana na kukufanya usichoke wala kuchosha macho yako.

C3qJGGIWcAAltx9.jpg

Mwonekano wa itel S31 na rangi angavu ya HD screen ambayo ni IPS

itel imetambua kuwa wateja wake sio tu wanahitaji simu bali wanahitaji simu zenye ubora, kwa kutambua hili itel S31 inaweza kuwaridhisha wateja wake kwani kila kitu watakachohitaji kwenye smartphone, hii inacho.
itel S31 inapatikana katika rangi tatu Nyeusi, champagne gold na rose gold
itel5.jpg

KUHUSU KAMPUNI YA itel
itel Mobile ni kampuni ya simu ambayo mpaka sasa ina umri wa miaka 10, ni kampuni ya masuala ya teknolojia na uvumbuzi, iliyojikita kwenye masuala ya SIMU. Karibu kipindi cha muongo mmoja kampuni hii imekuwa ikitamba kwa kusambaza bidhaa zake kwenye zaidi ya nchi 45 Duniani kote.
Mwaka 2016, itel iliuza zaidi ya bidhaa zake milioni 50 barani Afrika na kuongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kwenye tatu bora ya Kampuni za simu zenye idadi kubwa ya mauzo ya bidhaa zake.
Kila unaponunua simu ya itel, unapewa miezi 12 ya kuhudumiwa bure pale simu yako inapopata hitilafu yoyote ya kiufundi, hii ni kutokana na kuwa na vituo vya huduma kwa wateja wake baada ya mauzo yaani CarlCare service centers vilivyoko nchini.
service_center.jpg

Kama unahitaji, wala usiumize kichwa tembelea duka la simu lililokaribu nawe kisha ulizia simu kutoka itel inayoitwa S31, Bila shaka utaipata, tena kwa bei isiyozidi 170,000/= Au Pata maelekezo kwa kutembelea hapa itel Mobile | Facebook

Inaonekana ni simu nzuri sana, Big Up itel, binafsi nimeipenda sana.
 
hii itakuwa ni camera mana hujamaliza kuichambua
inakaa na charge muda gani
Ukubwa wa Ram
Procesor
Aina ya Network 2g,3g 4g etc
gharama yake....

hebu kamilisha tangazo bwana
 
Itel S31 ni 3G network lakini ni 3G yenye MTK platform kwaajili ya speed zaidi, sio ya kawaida, pia processor yake ni Quad-core, 1.3GHz, 4x Cortex‐A7 na ni android 6.0 Marshmallow na Ukubwa wa Betri yake ni 2400mAh na bei ya simu hii ni kati ya 165,000/= na 175,000/=
 
B

Mmefeli sana kwenye battery
 
Back
Top Bottom