Itawezekana!!!

Itawezekana!!!

Price

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
1,502
Reaction score
922
Kwame Nkrumah alitoka jela akawa Rais, Nelson Mandela nae alitoka jela akawa Rais, pia Obasanjo. Theodore Orji alitoka jela akawa Gavana, Omisore Lyiola alitoka jela akawa Seneta. Robert Mugabe alitoka Jela akawa Waziri Mkuu, baadaye Rais. Mmmh! kwa data hizi nilizonazo... wana JF , Kuna uwezekano Mwaka 2015 Rais akawa Babu Seya....!!!
 
Hii nchi ni mali ya peoples in 2015

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kipo kitabu (rais wa leo mfungwa wa kesho,mfungwa wa leo ni rais wa kesho)mfano mandela akawa rais na Sadam Hussein wa Irack au Muhamed Morsi wa Misri leo yupo jela.but hao walikuwa politician not criminals .
 
Back
Top Bottom